Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Msanii Gigy Money amefunguka kuwa kamwe hawezi kumtaja mchumba wake, kwani kumtaja mchumba huyo kutamkosesha wachumba wengine.
Gigy Money amethibitisha kuwa bado anataka wachumba wengine japo ana mpenzi.
Gigy ni mmoja kati ya watu walio tayari kujilipua mitandaoni kwa tukio lolote bila kujali.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Gigy amesema, “mimi nataka wachumba wengine nikimtaja yeye[Mchumba wangu wa sasa] sasa wachumba wengine si wataniogopa!”
“Mwanaume wangu ni mbongo na anafikiri sana, ni mtu mkubwa sana. Kuna wavulana wazuri wewe Dullah usinitanie wewe. Mchumba wangu ni handsome lakini ana elimu sana, mpaka muda mwingine hadi kulala mnatumia elimu. Halafu mimi maisha yangu siyo elimu sana ujanja mwingi,” ameongeza.