nyakagwe
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 425
- 212
Kiuno kama Ray c,pozi kama JD
Ndo mana wahenga wakasema kosea vyote ila usikosee kuoa au kuolewa matokeo yake ndo tunayaona kwa jide ni dhairi kabisa kwamba Gardener alikuwa anampa stress Dada wa watu.. Kuna mijanaume mingine ni stress tupuu Ona sasa alivokuwa mcharoo
Nampenda sana huyu Mdada mpaka basi
#huumchezohautakihasira.. NDINDINDINDI Mtaziogaaa