juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Kwa sisi tunaojua muziki tunaelewa ila kwa wale die hard fans hii kitu hawawezi kuielewa,kwanza hiyo habari ya alli kiba kusainiwa sony mi sioni kama ni ngeni maana kumbuka kipindi wamefanya ngoma na R kerry lakini cha maana hakuna,nabhata huo wimbo wake mpya wa "waje" ni mbaya sana na hauna mvuto kabisa,,na huyu ben pol ndio kwa heli kabisa maana hiyo ngoma yake mpya ya moyo mashine nayi ni mbovu kupita maelezo,ila tu kwa kuwa wameshatengeneza majina basi zitashika chat tu
NB: pamoja na ubaya wa nyimbo hizo mashabiki wasiojua miziki watasifia tu
NB: pamoja na ubaya wa nyimbo hizo mashabiki wasiojua miziki watasifia tu