Chanzo bifu la Binti machozi na Ruge Mutahaba

kudra hamidu

Senior Member
Jul 1, 2012
152
107
Naam salama humu?

Iko hivi.Mimi ni mfuatiliaji wa entertainment hapa bongo. Ila hili swali nimekuwa nikilikosea jibu lake.Je chanzo nn? Pesa, mziki, umaarufu, au kuna mtu kala za chembe (mtaani tunaita KO).

Maana hivi karibuni binti machozi anafanya shoo, usije kushangaa Clouds nao wanaanzisha yao fasta ili kutia pilau la komando binti jongooo.

Chanzo cha mzozo haswa ni nini?
 
wabongo tunashida.. bifu la watu unataka.chanzo wakati lako na wazazi wako umekuja mjini vivha hutumi kijijini hakuna anakuzungumzia.
Ruge na zake Jide na zake wanapga hela.haya ww ukijua chanzo unataka ikusaidiaje?
Ww ndo unafanya wawe wanasema "wanaume wa dar...."
 
Hata mimi sijui nini tatizo labda wewe mfuatiliaji wa bongo entertainment una idea nalo kidogo...
 
Hawa watu zamani walikuwa wanatoka(wapenzi), nakumbuka jide na ruge walienda south africa sijui kulikuwa na award gani but walishare chumba, naona baada ya kumwagana mmoja hakukubali matokeo
 
wabongo tunashida.. bifu la watu unataka.chanzo wakati lako na wazazi wako umekuja mjini vivha hutumi kijijini hakuna anakuzungumzia.
Ruge na zake Jide na zake wanapga hela.haya ww ukijua chanzo unataka ikusaidiaje?
Ww ndo unafanya wawe wanasema "wanaume wa dar...."
We nawe ni jipu, its celebrities forum unataka akuzungumzie wewe au?

'Wanaume wa Dar' wanawatoa jasho enh, ungepita kimya mwanaume wa pwani
 
wabongo tunashida.. bifu la watu unataka.chanzo wakati lako na wazazi wako umekuja mjini vivha hutumi kijijini hakuna anakuzungumzia.
Ruge na zake Jide na zake wanapga hela.haya ww ukijua chanzo unataka ikusaidiaje?
Ww ndo unafanya wawe wanasema "wanaume wa dar...."
Celebrities forum
 
Mwanaume anapotumia muda wake kujua chanzo cha matatzo binafs ya watu ni upuuzi,tumia mda wako kujiulza chanzo cha umaskin wako ni nin hyo itakusaidia wew na kizaz chako.
Unataka huku kwenye celebrities forum pajadiliwe nini?
 
Mwanaume anapotumia muda wake kujua chanzo cha matatzo binafs ya watu ni upuuzi,tumia mda wako kujiulza chanzo cha umaskin wako ni nin hyo itakusaidia wew na kizaz chako.
We we ni jipu kwenye hii forum.kama hautaki mambo hayo kaa mbali na show.
 
wabongo tunashida.. bifu la watu unataka.chanzo wakati lako na wazazi wako umekuja mjini vivha hutumi kijijini hakuna anakuzungumzia.
Ruge na zake Jide na zake wanapga hela.haya ww ukijua chanzo unataka ikusaidiaje?
Ww ndo unafanya wawe wanasema "wanaume wa dar...."
Umefuata nini huku?
 
Back
Top Bottom