God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,029
.............
Ficha ujinga wako,kama hujui kitu nyamaza,sio kujifanya kimbelembele kuandika ujingaMbuzi mkubwa we.
MAYENA mie nimemuita jina lake2 we angalia Avatar ya mbuzi na kuku utanielewayani kwa hayo majibu ndg yngu? wakuu kidamva na makilo mngemwambia agoogle tu atajua kila kitu.ndo maana ya technolojia mleta Uzi usipende kutafuniwa kila kitu?
Sawa nauficha bt nadhani umenielewa vibaya mkuuFicha ujinga wako,kama hujui kitu nyamaza,sio kujifanya kimbelembele kuandika ujinga
mkuu nashukuru sana kwa maelezo safi ila najua bigie na pac walikua hawapatani ukisikiliza wimbk wa pac hit em up utanielewa nachomanisha mkuu asante.Ni jana tu nilikuwa naangalia documentary ya Tupac na Biggie,kusema ukweli mpaka mwisho nilivyomaliza kuangalia hiyo documentary nimeconclude kutokana na evidence mbalimbali ambazo muandaaji alizi present kuwa muuaji wa tupac na biggie ni Suge knight pekee...Kwanza kisa hasa cha kuuwawa Tupac ni wazo lake la kuondoka death row records,ambao mpaka muda anaondoka alikuwa anawadai dola mil 10, na alitaka pia kuchukua nyimbo zake ambazo alikuwa tayari amekwisha zirekodi. Pili Hata kifo cha Tupac utaona Suge knight alikipanga, kwa kawaida 2pac huwa na mabodigadi wawili,lakini mmoja alipewa likizo fupi,na wa pili mpaka siku ya tukio aliambiwa aache bunduki yake, tatu kile kisa kilichotokea cha mtu kupigwa na kina tupac walipokuwa wanatoka kuangalia pambano la mike Tyson ni kuwa kuna watu waliambiwa waseme wamwambie tupac kuwa kuna jamaa alishiriki kukupora cheni yako,ambae huyo jamaa yupo kundi la creeps,ili ionekane kuuwawa kwa tupac ni retaliation ya creeps baada ya member wao kupigwa na kudhalilishwa na 2pac.Ukiangalia mtu aliekuwa nyuma ya yote haya ni Suge Knight.Ukija upande wa Big,sio kweli kwamba big alikuwa anamchukia tupac na walikuwa wana beef..huo ni uongo kabisa,na zilikuwa propaganda tu za C.I.A na FBI ambao walikuwa na ajenda zao. Muuaji wa Biggie ni Suge knight,ambae alimpa kazi hiyo Harry Billups a.k.a Amir Muhammad,huyu jamaa wamekuwa wote na Suge knight mtaa mmoja na kwenye documentary hiyo Lil Cease na aliekuwa bodigadi wa Big walimuona siku ya tukio..Ukiangalia documentary hiyo biggie hakuwa ana kinyongo na 2pac kwasababu alikuwa anamjua kichwa moto,na hata ile mara ya kwanza tupac alipigwa risasi 5,biggie alienda kumsalimia hospital na akaongea na baba yake tupac...Unaweza ipakua hii documentary kupitia utorrent ambapo muongozaji amejitahidi sana kuchimba mambo.Peace
mkuu bado kifo cha 2pac ni cha kusadikika kwa sababu maiti yake sijui kama ilionekana na hata kama haikuonekana kwa nini waifiche?? ni baadhi ya mambo kwamba jamaa hajafa hata ukisikiliza nyimbo zake amekua sana akitaja mazingira ya kifo chake kama ilivyotokea. ukisoma seven theory day ya jamaa utanielewa mkuu. pia wanasema huyu jamaa alikua mfuasi wa shetani kutokana na mtindo wake wa maisha na lyrics zake. maneno kama makaveli yana maana pana sana.Kuna wanaosema tupac hajafa, hii nayo ipoje?
ndo maana unajisura baya. matendo yako yanaashiria ndani yako.Sasa unataka kusema nini hapa? Tumfuate Didy atusimulie? Poor thread
umefaidika na nini ndugu? ndio ukubwa raha me mjasiria maliMbuzi mkubwa we.
asantemkuu bado kifo cha 2pac ni cha kusadikika kwa sababu maiti yake sijui kama ilionekana na hata kama haikuonekana kwa nini waifiche?? ni baadhi ya mambo kwamba jamaa hajafa hata ukisikiliza nyimbo zake amekua sana akitaja mazingira ya kifo chake kama ilivyotokea. ukisoma seven theory day ya jamaa utanielewa mkuu. pia wanasema huyu jamaa alikua mfuasi wa shetani kutokana na mtindo wake wa maisha na lyrics zake. maneno kama makaveli yana maana pana sana.
Nawakubari Sana watu kama wewe, sio kama wadau hapo juu! Ingekua kama wanavyotaka wadau hapo juu, kusingekua na majadiliano JFNi jana tu nilikuwa naangalia documentary ya Tupac na Biggie,kusema ukweli mpaka mwisho nilivyomaliza kuangalia hiyo documentary nimeconclude kutokana na evidence mbalimbali ambazo muandaaji alizi present kuwa muuaji wa tupac na biggie ni Suge knight pekee...Kwanza kisa hasa cha kuuwawa Tupac ni wazo lake la kuondoka death row records,ambao mpaka muda anaondoka alikuwa anawadai dola mil 10, na alitaka pia kuchukua nyimbo zake ambazo alikuwa tayari amekwisha zirekodi. Pili Hata kifo cha Tupac utaona Suge knight alikipanga, kwa kawaida 2pac huwa na mabodigadi wawili,lakini mmoja alipewa likizo fupi,na wa pili mpaka siku ya tukio aliambiwa aache bunduki yake, tatu kile kisa kilichotokea cha mtu kupigwa na kina tupac walipokuwa wanatoka kuangalia pambano la mike Tyson ni kuwa kuna watu waliambiwa waseme wamwambie tupac kuwa kuna jamaa alishiriki kukupora cheni yako,ambae huyo jamaa yupo kundi la creeps,ili ionekane kuuwawa kwa tupac ni retaliation ya creeps baada ya member wao kupigwa na kudhalilishwa na 2pac.Ukiangalia mtu aliekuwa nyuma ya yote haya ni Suge Knight.Ukija upande wa Big,sio kweli kwamba big alikuwa anamchukia tupac na walikuwa wana beef..huo ni uongo kabisa,na zilikuwa propaganda tu za C.I.A na FBI ambao walikuwa na ajenda zao. Muuaji wa Biggie ni Suge knight,ambae alimpa kazi hiyo Harry Billups a.k.a Amir Muhammad,huyu jamaa wamekuwa wote na Suge knight mtaa mmoja na kwenye documentary hiyo Lil Cease na aliekuwa bodigadi wa Big walimuona siku ya tukio..Ukiangalia documentary hiyo biggie hakuwa ana kinyongo na 2pac kwasababu alikuwa anamjua kichwa moto,na hata ile mara ya kwanza tupac alipigwa risasi 5,biggie alienda kumsalimia hospital na akaongea na baba yake tupac...Unaweza ipakua hii documentary kupitia utorrent ambapo muongozaji amejitahidi sana kuchimba mambo.Peace
Ni jana tu nilikuwa naangalia documentary ya Tupac na Biggie,kusema ukweli mpaka mwisho nilivyomaliza kuangalia hiyo documentary nimeconclude kutokana na evidence mbalimbali ambazo muandaaji alizi present kuwa muuaji wa tupac na biggie ni Suge knight pekee...Kwanza kisa hasa cha kuuwawa Tupac ni wazo lake la kuondoka death row records,ambao mpaka muda anaondoka alikuwa anawadai dola mil 10, na alitaka pia kuchukua nyimbo zake ambazo alikuwa tayari amekwisha zirekodi. Pili Hata kifo cha Tupac utaona Suge knight alikipanga, kwa kawaida 2pac huwa na mabodigadi wawili,lakini mmoja alipewa likizo fupi,na wa pili mpaka siku ya tukio aliambiwa aache bunduki yake, tatu kile kisa kilichotokea cha mtu kupigwa na kina tupac walipokuwa wanatoka kuangalia pambano la mike Tyson ni kuwa kuna watu waliambiwa waseme wamwambie tupac kuwa kuna jamaa alishiriki kukupora cheni yako,ambae huyo jamaa yupo kundi la creeps,ili ionekane kuuwawa kwa tupac ni retaliation ya creeps baada ya member wao kupigwa na kudhalilishwa na 2pac.Ukiangalia mtu aliekuwa nyuma ya yote haya ni Suge Knight.Ukija upande wa Big,sio kweli kwamba big alikuwa anamchukia tupac na walikuwa wana beef..huo ni uongo kabisa,na zilikuwa propaganda tu za C.I.A na FBI ambao walikuwa na ajenda zao. Muuaji wa Biggie ni Suge knight,ambae alimpa kazi hiyo Harry Billups a.k.a Amir Muhammad,huyu jamaa wamekuwa wote na Suge knight mtaa mmoja na kwenye documentary hiyo Lil Cease na aliekuwa bodigadi wa Big walimuona siku ya tukio..Ukiangalia documentary hiyo biggie hakuwa ana kinyongo na 2pac kwasababu alikuwa anamjua kichwa moto,na hata ile mara ya kwanza tupac alipigwa risasi 5,biggie alienda kumsalimia hospital na akaongea na baba yake tupac...Unaweza ipakua hii documentary kupitia utorrent ambapo muongozaji amejitahidi sana kuchimba mambo.Peace