Diamond Platnumz atunukiwa tuzo ya heshima

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,306
Msanii wa bongo fleva Nasib Abdul maarufu kama Diamond ameendelea kujizolea tuzo kila pembe ya dunia kwa kazi anayoifanya ya music kupenda na wengi apewa tuzo ya kutambua kazi yake ya mziki leo,
Na baada ya kupokea tuzo hiyo amewashukuru mashabiki zake kuendelea kumsupport pia kukubali kazi yake.
 
Back
Top Bottom