Wakuu habari za mda huu,
Nisipoteze mda sana iko ivi;
Kulikoni jina mwanamuziki maarufu Justin bieber kuwepo kwenye list ya wanawake mashuhuri zaidi ulimwenguni?
Naombeni mnitoe tongo tongo...
Msanii wa Bongo fleva wa kitambo Q Chief amedai ana uwezo mkubwa sana kimuziki na hili limethibitishwa alipoomba kolabo na msanii wa Nigeria Patoranking
Anadai alipoomba kolabo na msanii huyo...
Nimejikuta nakutana na wimbo Sina raha wa Huyu dogo alikuja vizuri miaka ya 2010/11 alitamba sana na Wimbo wa Sina Raha
Yuko wapi siku hizi au aliacha muziki?
Video Vixen anayeitwa Zawadi Stanford Bupe, aka Gigi Money ameelezea maisha yake aliyopitia akiwa mdogo hadi alipo, anadai hakuna mtu aliyemtegemea anazaliwa na baba yake alimtekeleza akiwa...
Baada ya mwanadada Zari the boss lady kujifungua mtoto wa pili "Riaz junior"
Baadhi ya mashabiki walikuwa wakiingia kwenye page ya instagram ya Wema Sepetu wakimtolea maneno makali kuwa aendelee...
Kwa taarifa tu msifikirie ali kiba alikwenda kupoteza pesa zake kwa show off ambazo hafanyagi. Kisa birthday ukweli huu hapa mr king kiba alifanya safari zake huko sayari camp serengeti kwaajili...
Video za muziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania ndizo zilizotazamwa zaidi na Wakenya katika mtandao wa YouTube, unaomilikiwa na Google, mwaka huu, takwimu zinaonyesha.
Video hizo zinatawala katika...
Hivi mnakumbuka Tiffa alivyokuwa anazaliwa alikick jaman ilaa Chibu Junior naonaa zzzz..
Familiaa nzima inatafuta pa kutokea kupitia Chibu Junior ila kick zimegoma manake naona mama ake mara...
Ommy dimpoz NI miongoni mwa wasanii wanaoimba vizuri sana bongo ukilinganisha na wasanii wengine ananipa jeuri ya kusema kwamba NI miongoni mwa wasanii watano wakubwa katika game ya bongo fleva...
HUKU mwenyewe akikanusha vikali kwamba hatumii, nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando bado anaandamwa na madai mazito kwamba anatumia madawa ya kulevya ‘unga' yanayomfanya kuwa hoi...
Alikiba a.k.a Mfalme wa bongofleva alitoa nyimbo ya AJE,may 19,mpaka sasa ina 4,855,844+ views.
Yeye ni mwanamuziki mkubwa hapa Tz na Afrika kiujumla.Ana mashabiki wengi sana.Sasa kama yeye ni...
Ni vigumu kuamini Kayumba mshindi wa Milioni 50 za bongo star search amepotea kama upepo...Hata kama alipewa milioni 30, hiyo hela ni kubwa sana kuanzisha miradi au kujiendeleza kimuziki maana...
Vanessa mdee a.k.a vee money kama anajiita ameachia nyimbo mpya ya kufungia mwaka.
Nyimbo inaitwa cash madame
Nyimbo hii inahamasisha wadada kujitafitia mkwanjwa wao wenyewe sio kutegemea ma...
nyota wa muziki maarufu nchini zimbabwe Jah Playzah amekumbwa na kashfa kubwa ya kukopi kila kitu video ya wimbo ya wimbo wake jarusarema kutoka katika video ya wimbo mdogomdogo ya mwanamuziki...
Papa Wemba ana "watoto wengi sana, idadi yao haifahamiki".
Watoto hawa wamezagaa ndani ya DR Congo na Nje.
Kwa sasa wanaendelea kuwasajili kabla ya maziko yake Jumanne ijayo!!!!
REST IN PEACE...
Site Features:
Account & Page Verified Feature
Create Page
Create Group
Post upload
Audio upload
Video upload
Product Selling
Link Attachment For Bloggers
Embed Youtube Videos
Chat Messenger...
Cherekochereko! Msanii wa filamu za Kibongo, Meya Shaban Aki wa Bongo Muvi ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa na msanii mwenzake, Amina Shaban, Ijumaa Wikienda lilikuwepo ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.