Alifungwa nadhani mwaka mmoja kwa hiyo issue ya uhamiaji, alikuwa kila mara anakuja Congo na kuondoka na kundi la watu akisema ni wanamuziki wake na wakifika Ubelgiji ama Ufaransa anasema wamemtoroka, alifanya sana michezo hiyo, mara ya mwisho walikamatwa aliowaleta na ndio wakasema wao sio wanamuziki ila walimlipa jamaa awalete ulaya, ndio akafungwa mwaka mmojaAliwasaidia wakongomani wengi kwenda ufaransa mpaka idara ya uhamiaji ilimsumbua nchini ufaransa.
Papa Wemba ana "watoto wengi sana, idadi yao haifahamiki".
Watoto hawa wamezagaa ndani ya DR CONGO na Nje.
Kwasasa wanaendelea kuwasajili kabla ya maziko yake jumanne ijayo!!!!
REST IN PEACE PAPAA.
Wabongo wangegundua hiyo wangemfuataAlifungwa nadhani mwaka mmoja kwa hiyo issue ya uhamiaji, alikuwa kila mara anakuja Congo na kuondoka na kundi la watu akisema ni wanamuziki wake na wakifika Ubelgiji ama Ufaransa anasema wamemtoroka, alifanya sana michezo hiyo, mara ya mwisho walikamatwa aliowaleta na ndio wakasema wao sio wanamuziki ila walimlipa jamaa awalete ulaya, ndio akafungwa mwaka mmoja
Wabongo wangegundua hiyo wangemfuata
Mkuu wanaowasema wabeba box ni watu waliojaa na wivu tu, ni haters ambao hutafuta tu njia za kujiliwaza but kiuhalisia hata wao wanatamani kupata hiyo fursa ya "kubeba box" ila wameshindwa kuipata.Wangemfata vipi wakati wabongo wanajifanya hawapendi kubeba mabox na wanawatukana wabeba box kila siku mtandaoni?
ana watoto 9 tuPapa Wemba ana "watoto wengi sana, idadi yao haifahamiki".
Watoto hawa wamezagaa ndani ya DR Congo na Nje.
Kwa sasa wanaendelea kuwasajili kabla ya maziko yake Jumanne ijayo!!!!
REST IN PEACE PAPAA.
Na ufupi ule dyu dyu yake si ndo upake mate?