Sio Simba sio chui sio mamba,ngozi yangu inatosha kujigamba na sina maneno ya kwenye kanga yani kazi juu ya kazi yani bamba to Bamba!!!!!!!!
Hili litakuwa Dongo kwa team Fulani ila sisi ambao...
Huyu jamaa angekuwa rais wa Tanzania nafikiri mambo mengi yangekuwa mazuri.
We vuta picha ametoa bil 9 na ushee kama rambi rambi kutoka mfukoni kwake sasa sidhani angekuwa rais wa Tanzania kama...
Video ya Eric Omondi yamtoa povu Barakah The Prince
Baada ya Eric Omondi kuachia video ya parody ya wimbo wa ‘Kuliko Jana’ wa Sauti Sol, msanii wa Bongo Fleva Barakah The Prince amemjia juu...
1.Diamond
Huu jamaa katengenza hela nyingi sana mwaka kuanzia kwny endorsement zake, show, kuuza mziki kwny digital platform plus label yake inayomwingzia mkwnja day after day
2.A.Y
Japo jamaa...
Happy birthday Gambe and mamaa Mengi ilaa mmepoozaa siku hizi khaa tunaishia kuonaa tu mkipiga picha hahaha mkiwa mmekaa nyumabani no kutoka nowdays.
All in all nawatakia kila la heri maishani mwenu.
IT'S A NEW ERA !!!
Kwa mwaka 2016 Darasa amefanya mziki mkubwa sana TZ na kutoa nyimbo Kali, bila kuharibu mwenyewe anakwambia bampa to bampa hajakosea mwaka mzima ye anatoa nyimbo za taifa tu...
Ile timu Janja janja au maarufu kama timu manunuzi,ikiongozwa na msanii wa kimataifa mwenye mbinu za kijanja janja DIAMOND PLATNUMZ alikuwa nchini Zimbabwe (Zim) kwaajili ya shoo moja...
Tukiwa tunakaribia kufunga mwaka naomba nitoe list ya macelbrities ambao ni mabest looser wa mwaka huu, kwa kweli list ni ndefu sana ila naomba nimuandike huyu manake ndo kaloose kila kitu na...
Ommy Dimpoz ni miongoni mwa wasanii wanaoimba vizuri sana bongo ukilinganisha na wasanii wengine ananipa jeuri ya kusema kwamba ni miongoni mwa wasanii watano wakubwa katika game ya bongo fleva...
Kweli bongo movie mmedharaulika sana, mkoje nyie lakini? Mbona miaka fulani waimbaji walikuwa wanakimbilia kwenu leo wanawacheka?
Hata Marekani Jay Z hawezi kumdharau Denzel au Tom Cruise hata...
Daaah kama miaka miwili iliyopita alitoa wimbo wake nilioupenda sana, kuna watu wana vipaji,sas nimeiona wimbo wake mpya mtam pia nkaona sio mbaya kumsapot kiivi...icheck pia to see if its worthy
HABARINI! TOKA jana kwenye mitandao ya kijamii Mchekeshaji Erick Omond amejiwa juu na baadhi ya watu kwa kile Alicho Fanya na kuleta mvutano mkubwa sana katika Imani!
Mimi ni mkristo,Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.