Gigi Money aelezea makuzi aliyopitia hadi kuharibikiwa


Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
1,633
Points
2,000
Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
1,633 2,000
Video Vixen anayeitwa Zawadi Stanford Bupe, aka Gigi Money ameelezea maisha yake aliyopitia akiwa mdogo hadi alipo, anadai hakuna mtu aliyemtegemea anazaliwa na baba yake alimtekeleza akiwa tumboni kwa mama yake, na alilelewa na mama yake na dada yake na ametokea familia masikini na sasa anaishi peke yake kwenye nyumba ya kupanga


Na mama yake naye alikuwa anamuona mzigo, anadi alianza kucheza kamari na alikuwa anapata fedha nyingi sana na kumpa mama yake
 
shushushu VIP

shushushu VIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Messages
4,790
Points
2,000
shushushu VIP

shushushu VIP

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2016
4,790 2,000
Kupitia maisha magumu mbeleni waweza kujirekebishaa
 
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
6,614
Points
2,000
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
6,614 2,000
Tuendelee kumwombea abadilike
 
Mr Alola

Mr Alola

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Messages
478
Points
1,000
Mr Alola

Mr Alola

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2016
478 1,000
Kupitia maisha magumu mbeleni waweza kujirekebishaa
Hivi yeye kajirekebisha? naona ndo mwendokasi zaidi kama ndo anafidia alichokosa kipindi anapitia hayo maswahibu
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
108,865
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
108,865 2,000
Kuzishughulisha sehemu zake za siri anatoa lawama kwnye malezi, hajitambui huyu...

Kibaya zaidi hawahawa ndio wanatumika kwenye kampeni 2020..
Hizi ni tabia binafsi kuna wengi tu mbona wamepitia maisha magumu na mabaya zaidi kuliko yeye na Leo ni watu wa kuheshimika mno katika jamiii
Tabia ya kihuni tu . ..Mwenye Enzi Mungu amsaidie abadilike . ..that's all . .
 
G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
7,760
Points
2,000
G

Guasa Amboni

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2015
7,760 2,000
asisingizie makuzi huyu khabeeth
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,156
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,156 2,000
AKili zake ameziweka Tumboni na Kwenye Makalio,Watanzania wengi wamepitia maisha magumu lakini wana displini.
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,924
Points
2,000
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,924 2,000
Hii siyo justification ya yeye kuharisha ovyo barabarani.
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
12,679
Points
2,000
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
12,679 2,000
Kuzishughulisha sehemu zake za siri anatoa lawama kwnye malezi, hajitambui huyu...

Kibaya zaidi hawahawa ndio wanatumika kwenye kampeni 2020..
Usicheze na CCM wewe.
 

Forum statistics

Threads 1,285,389
Members 494,586
Posts 30,860,211
Top