Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wamedai wamesikia bifu hilo ila sio rasmi ila kama wakipata taarifa rasmi itabidi wakae na mameneja wao
0 Reactions
32 Replies
5K Views
HAJAWAHI kukosea, pamoja na ukongwe wake kwenye muziki wa bongo flavor lakini anawazidi wakongwe wenzie wengi. Msanii huyu hakuna wakati ametoa wimbo ukashindwa kukamata na kupendwa na wadau wa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wasalam kwenu nyote, Kwanza namshukuru Allah walau kwa kuniwezesha kuandika chochote hapa, muda huu ni ushauri kwa mwanamuziki Diamond Platinumz napenda kumshauri aache kutumia Jina Dangote kwani...
5 Reactions
54 Replies
8K Views
inakuaje wadau??,mazee huyu dogo amenivutia sana hasa alivyoimba lile dude lake jipya na p.n.c chini ya marco challi,mnaonaje progress yake atatisha hapo mbeleni maana yake kuna muda alivyokuwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za wikiendi Jana tarehe 9/12/2016 kwenye kipindi cha FNL-FRIDAY NIGHT LIVE kwa mara ya kwanza nilikiangalia mwanzo mpaka mwisho. sasa sikujua kama ndo tabia au ndo yashakua mazoea...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Kuzuka kwa msemo wa kununua views YouTube na kushangiliwa na watu ikiwemo wenye akili timamu ni kuonyesha jinsi gani watanzania tuna uwezo finyu wa kufikiri au tunaendeshwa na matukio na mapenzi...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Heshima kwenu Wakuu. Sina mengi sana , lakini naomba team mbili Hapo juu tuliokwaruzana na kuvunjiana heshima tufike Hapa tuombana msamaha na tuanze kutoa michango ya kuwajenga wasanii wetu kwa...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Darassa amedai mwanzo alikuwa akitoa nyimbo zenye ujumbe lakini zilikuwa zikionekana za kawaida. Muimbaji huyo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa baada ya kushindwa kufanya vizuri kwenye...
5 Reactions
68 Replies
12K Views
Kwa upande wangu ni izi hapa 1: kama utanipenda - darasa 2: ibaki story - mavoko 3: lupela - alikiba Mpaka kesho izi nyimbo kwangu kwa mwaka huu ndio ze best na sichok kuzisikiliza
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Bwana Yesu asifiwe!!! Watu wengi wameshindwa kupambanua na hatimaye kutengeneza Upinzani kwa wasanii wawili A. Kiba na D. Platinum kana kwamba ndo wasanii maalum na ndo wenye vipawa vya kuimba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kutoka na nyimbo zake kama vile mabinti wa kitanga, Misosi nitoke vipi na kisha kuzimika ghafla, hatimaye Bwana Misosi amerudi upya na Wimbo wake Makofi kwa Magufuli. Ndani ya wimbo huu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Moja kwa moja kutoka Pritoria tupo hapa nje tunamsubiri Chibu Junior. Tumuombe MUNGU ATOKE SALAMA. MUNGU AWABARIKI MAMA NA MTOTO. ------ Updates ------- Hatimaye Zari na Diamond wamefanikiwa...
25 Reactions
402 Replies
88K Views
Kama Ni kweli basi Huyu jamaa bado sumu Ya cocaine haijamuisha Kichwani mwake, Kwakweli Hizi kiki zinawapeleka pabaya wasanii wetu, Manake kila kitu kinageuzwa fursa hatakama hakistahili. Max ni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msanii Jay Prayzah ashinda tuzo ya "MOST FASHIONABLE MUSIC VIDEO" Katika tuzo za "Style Oracle Awards-2016" Nchini Zimbabwe.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Huenda rapa Young Dee amerudiana na mpenzi wake wa zamani Tunda. Kwani wawili hao kwa sasa wapo karibu zaidi kiasi cha kushauriana baadhi ya mambo. Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Bila kupinga uwepo wa kazi nzuri ya muziki ya Darasa kwa sasa, lakini ninaamini itakapotokea Diamond kushirikishwa na Wema kwenye bongo movie ama Alikiba na Platnumz wakitoa collabo, huku Ommy...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajanvi. Katika Gazeti.la Kiu toleo no.1472 la Tarehe 9-11,2016.Alex Msama anamtuhumu Rose Mhando kama ni Mtumiaji mkubwa wa Madawa ya Kulevya ,kamtoa Mara nyingi police pia...
1 Reactions
43 Replies
9K Views
Richard Mavoko ni mmoja wa waimbaji wazuri sana hapa bongo. Binafsi namkubali sana. Kaka nakushauri tuliza kichwa tunga wimbo mwingine mzuri, wapenzi wako hatujaridhika na wimbo wako wa Kokoro...
21 Reactions
91 Replies
9K Views
Back
Top Bottom