Msanii Sam wa Ukweli ameishia wapi?

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
3,518
3,130
Nimejikuta nakutana na wimbo Sina raha wa Huyu dogo alikuja vizuri miaka ya 2010/11 alitamba sana na Wimbo wa Sina Raha

Yuko wapi siku hizi au aliacha muziki?
 
Anafundisha watoto kusoma namba
1=one
2=two
3=three
........................
 
Ukiniona sina raha eeeh nalia na mawazo
Kama hunipendi najua hupendi haiwezekani kila siku unanizinguaaa

Ilikuwa nyimbo ya taifa enzi hizo
 
Mkuu yule alikuwa muuza genge kabla mziki aujamtoa itakuwa karudi tena kwenye kazi yake pendwa.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom