Darasa asema atamsadia dereva aliyekamatwa kwa kucheza nyimbo yake na kutishia usalama


Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
1,608
Likes
3,542
Points
280
Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
1,608 3,542 280

Msanii huyo amesema ni kweli dereva huyo alifanya makosa ila anataka amtoe
amedai kuna watu wake wanafuatia atoke na yupo kituo cha polisi Manyoni
 
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
7,902
Likes
8,881
Points
280
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
7,902 8,881 280
Nipoa tu jamaa akiwasaidia maana kwa siku chache walizo nyea ndoo watakuwa wamejifunza hawata rudia tena kufanya upumbavu!
 
Mr Mav

Mr Mav

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Messages
447
Likes
153
Points
60
Age
26
Mr Mav

Mr Mav

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2016
447 153 60
Darasa umetoa bonge la ngoma ni Nouma Nouma Nouma Nouma sana Bobuuu darasa...mzuka kawaida Tu na dereva atatoka
 
princess ariana

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Messages
4,866
Likes
6,856
Points
280
princess ariana

princess ariana

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2016
4,866 6,856 280
kiki za kijinga zinawaponza waTanzania
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
15,650
Likes
13,682
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
15,650 13,682 280
Safi darasa.ndivyo inavyotakiwa.MTU mpaka kaacha usukani akacheza ngoma yako sio kazi ndogoo.amekukubali mpaka mwisho.
 
baby s

baby s

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Messages
419
Likes
216
Points
60
baby s

baby s

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2015
419 216 60
Bora awasaidie aisee ila nyimbo inamzuka sana hiyo daah
 
nasaluka

nasaluka

Senior Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
147
Likes
140
Points
60
nasaluka

nasaluka

Senior Member
Joined Jun 20, 2015
147 140 60
Fanya hivyo darasa maana umewachizisha watu mkuu.

Ila Naomba sasa ujiite shule maana darasa ni sehemu.ndogo ya shule
 
Trimmer

Trimmer

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Messages
1,183
Likes
773
Points
280
Age
31
Trimmer

Trimmer

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2014
1,183 773 280
Darasa tunaupenda "muziki"wako nawe tunakupenda pia mambo mengine iachie sheria ichukue mkondo wake...
kwa mtindo huo utawatoa wangapi hadi unastaafu "muziki"?
 
The Bleiz

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2012
Messages
3,862
Likes
2,563
Points
280
The Bleiz

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2012
3,862 2,563 280
Huyu hana management maana naona anapayuka payuka tuu.
 
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Messages
9,460
Likes
14,947
Points
280
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2015
9,460 14,947 280
Aiseee!!

Kama wakitoka hao, sijui!!
 
Powder

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Messages
3,422
Likes
3,359
Points
280
Powder

Powder

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2016
3,422 3,359 280

Msanii huyo amesema ni kweli dereva huyo alifanya makosa ila anataka amtoe
amedai kuna watu wake wanafuatia atoke na yupo kituo cha polisi Manyoni
Naona kaona mchango wangu kwenye bandiko la huyo dereva! Nilisema ningekuwa Mimi ndo Darasa, ningemlipia fine huyo dereva!
 
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Messages
9,460
Likes
14,947
Points
280
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2015
9,460 14,947 280
Na mbaya zaidi anachochea kwa kuongea kwenye media.

Nafuu wangefanya kimya kimya
Hii ni dharau kubwa sana..
Hatuwezi kukaa tunalia na kupambana na ajali za barabarani alafu anakuja mtu anatumia media kuchochea wapuuzi wanaofanya upuuzi barabarani!
 

Forum statistics

Threads 1,272,324
Members 489,924
Posts 30,447,451