Vanessa Mdee aachia nyimbo mpya - Cash Madame


brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
4,345
Likes
5,514
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
4,345 5,514 280
Vanessa mdee a.k.a vee money kama anajiita ameachia nyimbo mpya ya kufungia mwaka.
Nyimbo inaitwa cash madame
Nyimbo hii inahamasisha wadada kujitafitia mkwanjwa wao wenyewe sio kutegemea ma suger daddy au sponser
 
Aurthur

Aurthur

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2016
Messages
2,681
Likes
1,930
Points
280
Age
15
Aurthur

Aurthur

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2016
2,681 1,930 280
Uyu izo nyimbo zake kwa hii nchi atateseka sana
 
am a girl

am a girl

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Messages
758
Likes
494
Points
80
am a girl

am a girl

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2016
758 494 80
Iko poa,seems like anafocus soko la mbele zaidi.
Ila too much auto tune,angeacha sauti yake halisi ingekua poa zaidi.
 
princess ariana

princess ariana

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Messages
4,864
Likes
6,859
Points
280
princess ariana

princess ariana

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2016
4,864 6,859 280
vanessa hana management makini ndio maana anashindwa kwenda mbele!!!
mziki wake sio tatizo sana
 
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
4,345
Likes
5,514
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
4,345 5,514 280
Hii ngoma inasound jamaica kama ile ya tiwa savage BAD
 
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
4,345
Likes
5,514
Points
280
brave one

brave one

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
4,345 5,514 280
nyie mashabiki wa Diamond hampendi maendeleo ya msanii mwingine yoyote zaidi ya Diamond tu.
We nae umekariri kila kitu ni kiba na diamond akili yako imestuck
Umeambiwa wapi mtu akiwa shabiki wa diamond hawezi kuwa shabiki wa vanessa au maua sama?
 

Forum statistics

Threads 1,273,535
Members 490,428
Posts 30,484,387