kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,460
- 5,884
nyota wa muziki maarufu nchini zimbabwe Jah Playzah amekumbwa na kashfa kubwa ya kukopi kila kitu video ya wimbo ya wimbo wake jarusarema kutoka katika video ya wimbo mdogomdogo ya mwanamuziki Diamond Plutnumz wa Tanzania. hata hivyo imekuja kugundulika baadae kabisa wakati nyota huyo mzimbabwe akiwa keshabeba tuzo mbali mbali kupitia video hiyo.
Cheki video hiyo hapo
Cheki video hiyo hapo