Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

WanaJF, Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu sana, hivi ni kwanini Ali Kiba hatumiki kwenye matangazo ya makampuni na biashara kama ma-superstar wengine hapa TZ. Naomba maoni yenu wanaJF.
1 Reactions
62 Replies
6K Views
Kuna habari zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba komando Ruby yuko studio anafanya album aliyoipa jina la Antivirus volume 3. Mdau yapi maoni yako kuhusu hili?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mmmmhhh!!! Hivi majuzi Diamond plutnumz (Nasib Abdul...Baba Tiffah)alioneshwa kwenye kipindi cha E-VIP kinachorushwa na channel ya kimarekani ya E! namba 124 kwa king'amuzi cha dstv. Kipindi hicho...
1 Reactions
49 Replies
9K Views
Kwa mujibu wa mtandao wa edaily barani Africa umetoa orodha ya WASANII wenye mkwanja mrefu zaidi na wanaoingiza kipato kikubwa 1 P square wanamiliki mkwanja sawa na sh bl 277.752.822.639.34...
1 Reactions
21 Replies
15K Views
Habari wanajamvi! naombeni mnisaidie umri wa jide maana huyu dada nilianza kumskia nikiwa na umri mdogo sana, mpaka sasa at the age of 30 bado yuko vile vile habadiliki, sana sana namuona anazidi...
2 Reactions
45 Replies
15K Views
HATARI! Kumbe Rose Muhando ana Balaa Namna Hii! Unapowazungumzia wasanii wa nyimbo za injili ambao ni maarufu Afrika Mashariki na kati basi jina la Rose Mhando halitakosekana. Rose Muhando Rozi...
7 Reactions
61 Replies
23K Views
Kati ya namba ambazo huwezi kuzigawanya ni kama 5 ,7, 9 huo ni mfano tosha wa mwanamuziki kutoka #eastafrica #tanzania @diamondplatnumz ambae huwezi kumueka katika kundi lolote la mgawanyo au...
9 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimeangalia entreview ya mzazi mwenzie na young Dee mpaka machozi yamenitoka, jamaa anajifanya Justin beiber wakat kazalisha mtoto hats huduma hapeleki, mambo mengine mumuachie baba tiffah...
15 Reactions
118 Replies
19K Views
Ni kweli SALIM AHMED ISSAH aka GABO alistahili tuzo ya EATV?
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Leo mjini Dar kuna matukio mawili ya burudani,moja ni la After scul bash ya Clouds media group litakalofanyika Eskape one na lingine ni la EA TV awards litakalofanyika Mlimani city. Katika...
1 Reactions
126 Replies
11K Views
Hahahahahahahahaha jamani najaribu kufwatilia kwa mbali na kwa karibu hizi hit track mbili yani kokoro ya mavoko na muziki ya darasa, sasa kuna kitu kinanishangaza kokoro imetumia siku 10 kufika 1...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Nakumbuka iliwahi kwenda huko miaka ya nyuma ila wakaacha, wanaishia Moshi tu.Kama tuonavyo kwa sasa Fiesta inaenda mikoa mingi hadi mikoa midogo kama Singida na baadhi ya wilaya kama Kahama na...
12 Reactions
147 Replies
35K Views
Baada ya Kile Kinachoonekana Kujitambua na Kukua Kiakili ama Maisha kumwendea Kombo huko alipo, Msanii Dogo Janja Amewaomba Msamaha Walezi wake wa Zamani ambao ndio walimtoa Katika Game, Kundi la...
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Hahahahahahaha.......Usishangae kwanini ninacheka! Lakini Hata wewe ukifahamu kwa nini ninacheka utaungana Na Mimi kucheka! kama ulikuwa hujui Dar Leo Kuna vita ya chini chini inaendelea Katika...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Mara nyingi tumezoea kuona list za wasanii wakubwa wakitajwa kuingiza pesa nyingi zaidi Afrika, wiki hii imetoka list iliyoandikwa naeDaily kupitia ripota Brian Okoth ambayo imewataja wasanii...
2 Reactions
196 Replies
62K Views
Wimbo unaitwa koku bonge moja la jam q chillah KABADILIKA SANA namuona level zingne kabisa
6 Reactions
37 Replies
6K Views
Baada ya shule za South Africa kufunga , Tanzania sweetheart Tiffah Dangote amefanya vizuri katika mitihani yake ya mwisho. Katika Darasa la Tiffah lenye wanafunzi 43 kutoka mataifa 41 mtoto huyo...
25 Reactions
86 Replies
10K Views
Licha ya watu kupga majungu lakini ukweri upo pale pale king Alikiba aka mzee wa sauti za hatari zilizompagawisha R.KELLY na NEYO amezidi kufanya vyema afrika kwa mwaka huu 2016.Pongezi ziende...
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Back
Top Bottom