Msanii wa bongo movie shamsa ford amesema kuna wanaomuombea mabaya aachike ila watasubiri sana kwani kuachana na mumewe ni mpaka kifo
Pia amesema kuwa hajaacha kuigiza bali anatengeneza kwanza...
Nimetoka kucheki nyimbo mpya mpya ya mzimbambwe Jah Prayzah aliomshirikisha Diamond Patnumz inatwa watora mari nawe.Nasema ni moja ya nyimbo kali nilizozisikia mwaka huu lili kitu kipo on point...
Pengine 'Aje' inaweza ikawa nyimbo ya mwisho ya Ali Kiba chini ya producer Abby Dad ambaye ametengeneza nyimbo kadhaa za Ali Kiba.
Abby dad ametengeza hits kama #Nagharamia #Chekecha na #Aje...
Nmekuwekea hii caption ya jamaa aliyeamua kuboost video yake YouTube kupitia jina "Diamondplatnumz new song2016" ila ukifungua cyo ya diamond, ni vile watu wanaona I'll jna nakutaman kuona iyo...
Unajua vile inakua safi eeh...Weusi and their king Joh Makini team up with Mzee wa Masauti Bella
Nyimbo nzuri sana....
Christian Bella katika maneno ya wimbo huo anasema "utatunza penzi langu...
Dj majay jana amefungua kituo chake cha TV ambayo inaonekana no 115 katika king'amuzi cha Startimes, ipo so clear, sound inasikika vizuri ingawa naona logo bado haijakaa poa.
Ujitahidi utuletee...
Kutokana na ngoma aliyotoa Darassa kuifunika ngoma ya Rich Mavoko aliyomshirikisha Diamond, inasemekana kuna dalili tosha kuwa Diamond kijiti anaanza kumpatia Darassa taratibu bila yeye kujua.
Je...
Msanii Nisha kwa mara nyingine tena amepata title ya u 'single parent'...
Ni baada ya kupewa mimba na kisha kuachana na baby dady wa kijacho hiko bila hata kusubiri mrembo huyo ajifungue...
"Nivae chupi ya nini? tena ningewashauri wadada wasivae chupi kubana matumizi" Hayo yamesemwa na mwanadada machachari maarufu kwa jina la Gigy Money.
Baada ya video queen, Gigy Money kusemwa...
Jumanne hii ilikuwa ni birthday ya mkali wa wimbo Aje, Alikiba ambapo aliungana na uongozi wake kwenda mbuga ya wanyama ya Serengeti National Park kwa ajili ya kusherekea siku hiyo muhimu katika...
Ni nadra kuona Alikiba akifanya sherehe kubwa kwaajili ya birthday yake.
Lakini mwaka huu muimbaji huyo wa Aje aliamua kufanya kitu tofauti.
Nimeuuliza uongozi wake sababu ya mwaka huu kufanya...
MTV Europe music Awards 2016 ilifanyika weekend iliyopita ambapo Mtanzania mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba alikuwa akiwania tuzo ya BEST AFRICAN ACT ambayo ilitangazwa siku ya tukio mshindi ni...
Katika vitu ambavyo huwa naishangaa clouds fm ni kutopiga nyimbo za wasanii ambao ilishagombana nao huko nyuma.kama mnavojua ile Antivirus volume one na two,kwa kweli clouds walitukanwa sana mle...
We specialize in balloon deliveries covering the entire Sydney Metropolitan area. Make your corporate event shine using Balloon Arches, Balloon Columns, Balloon Bouquets, Sculptures, Table...
Hivi nini kinaendelea?
ni mental issues au kuna mengine?
nimeona kuna watu wanahusisha na Illuminati....
nimeona clip ya DMX....
Kanye West ana tatizo gani hasa?
Paulo Sergio De Souz Nyani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.