Alikiba ana views chache youtube.Je ni nini kinamuangusha?

Valsava

Senior Member
Aug 16, 2015
150
104
Alikiba a.k.a Mfalme wa bongofleva alitoa nyimbo ya AJE,may 19,mpaka sasa ina 4,855,844+ views.
Yeye ni mwanamuziki mkubwa hapa Tz na Afrika kiujumla.Ana mashabiki wengi sana.Sasa kama yeye ni mfalme mbona ana views chache/? Je ni kwa sababu,
1.Nyimbo zake ni mbaya?
2.Mashabik wake hawamsupport?
3.Amechokwa?
4.Hajipromote?
5.Hajulikani nchi nyingi?
6.Mshamba wa video?
 
Hakuna vitu vya maana vya kuongea? ?ndio maana hii nchi haiendelei sababu watu wengi wanapenda vitu vya kijinga jinga
Vitu vya maana kwako ni vipi? Wewe ni nani mpaka uwaamulie watu kuhusu umaana wa mambo yao? Hata unajua uko jukwaa gani?

Kuna majukwaa mengi sana hapa JF na unaweza kwenda huko unakodhani kuwa wanajadili mambo ya maana (mf. uchumi, siasa, MMU n.k.). Hapa ni kwa ma celebrities kama akina Kiba. Wape uhuru watu kujadili ma-celebrities wao bila bughudha mkuu vinginevyo hutaeleweka!
 
Management yake haijabadilika na soko au haijui soko la muziki wa Ali Kiba ni lipi??
 
Vitu vya maana kwako ni vipi? Wewe ni nani mpaka uwaamulie watu kuhusu umaana wa mambo yao? Hata unajua uko jukwaa gani?

Kuna majukwaa mengi sana hapa JF na unaweza kwenda huko unakodhani kuwa wanajadili mambo ya maana (mf. uchumi, siasa, MMU n.k.). Hapa ni kwa ma celebrities kama akina Kiba. Wape uhuru watu kujadili ma-celebrities wao bila bughudha mkuu vinginevyo hutaeleweka!
Naomba umsamehe mkuu ni New member
 
Kwasababu mashabiki zake Kiba wanaangalia zaidi nyimbo za diamond huko youtube ili wapate sehemu ya kukosoa,huku wakisahau kuangalia kwa msanii wao!

Views wengi wa diamond ni teamkiba,wanaenda youtube kwa ajili ya kudislike video za diamond bila kujua kama wanamuongezea views!!

Halafu Fanbase pia ya Diamond ni kubwa sana,Ukiangalia show ya Zimbabwe inatosha kuexpress nguvu kubwa aliyonayo Diamondplatnumz huko youtube
 
Binafsi nilipenda sana ile Aje angeiacha vilevile alivyoimba na MI coz ingemuongezea fanbase kubwa nigeria na sehemu nyingine.

Ila sikuona sababu ya msingi sana kutoa ile video bila MI

Labda anaamini katika jeshi la mtu mmoja
 
Back
Top Bottom