Nimeshangaa kuona watu wanaulizana huyu ni demu gani anachana namna hii? Ni baada ya Diamond kumpost kwenye kurasa yake ya instagram Rosa Lee.
Mara ya kwanza kumsikia nilitokea kumkubali mno...
Naona Anarudi Kwa Ujana Kwa Kasi ya Ajabu sasa Sijui alikuwa wapi kuyafanya Haya Na Mumewe kipindi kile..
Vipi hapo Unaonaje.. Yupo sawa Au Kaboa
NOTE: Picha Hii ilipigwa kabla Ya Cover ya Music...
Daah... Hili ni balaa lazima dunia isimame..
Lazima dunia ijue kuwa Kuna nchi inaitwa Tanzania..
Pongezi kubwa Kwa Mange Kimambi japo huwa namchambaga anapoongelea siasa..
Go the...
Ukizungumzia DIAMOND PLATNUMZ bila ya ubishi wala kupinga basi unakuwa unazungumzia msanii mkubwa barani afrika na duniani kwa ujumla. Msanii ambae ameweza kukaa kileleni tangu anatoka mpaka hivi...
copied somewhere
NA HASSAN DAUDI
HUENDA ujumbe wangu huu kwa mwanamuziki anayeitesa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, ukawakera wengi na hata yeye mwenyewe.
Lakini, nimejiridhisha kuwa...
Nachukua fursa hii kwanza Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uhai na kuniwezesha kushiriki katika mashindano haya, kuishukuru Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Miss Tanzania na pia...
Ukilala ukiamka, ukila ukishiba, ukinya ukimaliza basi utaanza kuwasema UKAWA.
Back to the point, Lowassa wa leo si Lowassa wa miaka 8 iliyopita, you are judging the different person. As u know...
Wana JF nawasabahi,
Natumai sikukuu ya Maulid imeenda vyema na wachache ambao wanauguliwa na ndugu jamaa na marafiki Mungu awape uponyaji.
Nimejitokeza hapa ili kuwauliza wana JF kama kuna mtu...
Kwanza nafurahi kuona baadhi ya wasanii wakianza kujitambua kwenye event kama ya jana wengi walivaa vizuri tofauti na huko nyuma. Kilichonikera nikitendo cha Dully Sykes kuitwa kutangaza tuzo tena...
Habari Jf
Nimekua nikifuatilia kwa ukaribu sana habari kutoka blog mbalimbali Tanzania, mwisho wa siku nikalizishwa na kuiamini MILLARDAYO.COM kama blog inayocover habari za aina zote ndani na...
Ahadi ni deni – muigizaji mkongwe wa Marekani, Samuel L. Jackson ameonekana kuipinga ahadi yake aliyowahi kuitoa kuwa atahamia Afrika Kusini endapo Donald Trump atateuliwa kuwa Rais wa nchi hiyo...
Kama ilivyo kawaida kwa sasa ambapo kila msanii wa bongo fleva anataka kumiliki label yake.Hatimaye msanii Baraka da Prince na mpenzi wake Najma wametuletea label mpya kabisa inayojulikana kama...
Wadau wa muziki, ninashangazwa sana na hawa wasanii wetu wa bongo fleva ambao wanashindwa kuitangaza nchi yetu na kuamua kila video yao mpya kwenda kuifanya South Africa utadhani huko ndio...
Aliyekuwa nguli wa muziki wa Taarabu nchini Mzee Yusufu inadaiwa na dada yake kuwa atampa mkewe talaka baada ya kugoma kuacha kufanya muziki wa taarabu na kumrudia mungu kama mumewe alivyofanya...
Baada ya kuwa kimya kwa mda mlefu pasipo kuwapa updates kuhusu Diamond platnumz
now nimerudi ...ntaendelea kuwapa updates zote za uhakika kuhusu diamond
Ni nadra sana kusikia wasanii wanaofanya rap kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hasa kutokana na nature ya muziki wenyewe unaoaminika kuwa ni muziki wa wagumu na watu wanao-stay real...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.