Miss world, miss Kenya anadai GFM documentary imechukuliwa Kenya.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
44,755
2,000
Habari za leo,

Nimepokea taarifa hii kwa masikitiko, ile documentary aliyoiandaa Diana Lukumay ya Genital Female Mutilation, ambayo imempa unique platform kwakuwa ni sensitive issue ambayo haijawahi kutowela na miss world. Miss Kenya amesema Wamasai wako Kenya si Tanzania na kuwa documentary yote imechukuliwa Kenya.
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
44,755
2,000
BEAUTY WITH A PURPOSE.YAKWETU YA MASAI DONDOSHA WEMBE SI ILIKUWA INASHINDANISHWA KWENYE BEAUTY WITH A PURPOSE AU NAKOSEA??? UWIIIIIIII KENYA KATISHA.
 • maprinceKP,Mkenya insta anatumia evelyn_njambi
 • jacqbeybMkenya ndio kamwaribia anadai yale ni mazingira ya Kenya na sio Tanzania
 • didakassimIts not abt kuharibiana its abt hw u justify ur self through explanation. ..masaai wako kote both tz n kenya...
 • didakassimNa kwenye beauty contest hakuna kusemeleana its wat u bring on the table the power of convincing the judges umaweza ina idea but ukaipresent better than aliekuwa nayo from the start...lets learn to accept defeat positively tusilaumu tujiulize wapi tumekosea
 

JT2014

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
1,865
2,000
Hapo tujifunze kila tulifanyalo
tuhakikishe tumeweka utambulisho
vinginevyo story itajirudia ya wasanii
kufanya kazi yake kwa jasho wajanja wanakula
fedha nyingi kuliko yeye kirahisi.

Utambulisho namaanisha kuwa na hati
miliki ya jambo ulilolifanya wewe,
vinginevyo,unafanya mwenzio anachukua.
kama tuonavyo kwenye mbuga za wanyama
nyumbu anazaa mtoto,fisi anaokota anakimbia.
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
44,755
2,000
 • kichwapanzioriginalNASIKIA HAINAGA USHEMEJI TUKIWA TUNASUBIRI FAINALI YA MISS WORLD LEO.MIMI NAOMBA NITOE USHAURI KWA KAMATI YA MISS TANZANIA.MIAKA IJAYO

  1.TAFADHALI WAANDAENI WASHINDANI WETU VIZURI NA MUWAELEZE NINI KINACHOWAPELEKA HUKO KWENYE MASHINDANO.

  2.WAELEWESHENI NI NINI MAANA YA MASHINDANO YA KIMATAIFA.MUHIMU WAELEWE MASHINDANO NI KILA SAA KILA DAKIKA TANGU WAMEFIKA KAMBINI.

  3.IKIWEZEKANA MCHUKUE MABINTI KUANZIA MIAKA 21 KWENDA JUU .NO TEENAGERS.KUMBUKENI TEENAGER WA 2016 NI TOFAUTI NA TEENAGER WA 1990.HAWA WA SASAHIVI NI SHIDA.PELEKENI BINTI WALIOKUWA MATURED ENOUGH KUDEAL NA INTERNATIONAL COMPETITION NA STRESS ZOTE ZA MASHINDANO.

  TUNAMUOMBEA KHERI DIANA.
 • rahmamajuuWawafundishe how to present themselves....they should watch next top model......those competitions are usually stiff.....
 • disguise_16Kwa kweli mi naongeza kidogo ni kuwa mshiriki wetu wa MW awe ni Miss Tz wa mwaka mzima nyuma. Yaani kama huyu angeenda MW mwakani ili apate mwaka mzima wa maandalizi this is how carribean countries became very sucessful
 • adekatNi 10:30 pm EST time. Ambayo ni 12:30 hasubuhi I think@brinnie_winnie
 • maruchui1_waziri_mstaafuPamoja na yote yaliyotokea siamini Kama miss world ni mbulula kiasi kwamba wanayoambiwa hawayafanyii uchunguzi. Ukweli upo pale pale maandalizi miss wetu hakuwa nayo na alikuwa hayupo tayari kushaurika. Ila wa Tanzania jamani wanavyotukana huko kwenye page ya miss world bila hata aibu naona tunazidi kumshusha hadhi Diana
 

G 6

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
508
250
Tumeshawazoea wakenya na mambo yao sijui ni hali ngumu ya maisha.. angekuwa karibu ningempiga hata kofi nimtoe ujinga
 

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
22,593
2,000
Ametudhalilisha tu na GFM yake....the whole world knows that she is mutilated, and got nothing out Of it.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom