Acheni Unafiki, mnakera sana! Hata haipendezi

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,407
2,000
Unafiki mbaya sana....Utasikia:-

"So sad"
"Jamani inaumiza sana"
"Mwili wangu wote umesisimka"
Simply because ni Mtoto wa Kizungu.

Ni unafiki wa kipuuzi sana. Ndio maana hata viongozi wetu wanatuongoza kinafiki nafiki.

Unajifanya unajali sana mtoto mmoja wa kizungu anaye ugua Cancer.. Wakati watoto wa kiafrika huku barani Africa wanakufa kila kukicha.....
1481920191179.jpg

Tuacheni unafiki wa kujipendekeza.

Katika kipindi/muda ambacho Dogo Bradley ametabiriwa kuishi kabla hajakutana na Kifo chake, bila shaka yapata watoto takribani 20 wa kiafrika watafariki. Je hao 20 si muhimu zaidi.

Au mnamaanisha tuonyeshe kuumizwa sana na mtoto Bradley kwa kuwa yeye ni wa kizungu? Halafu tuwapotezee hawa wakwetu kwa sababu kifo kwao ni kawaida?
 
Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Jan 2, 2014
4,592
2,000
Unafiki mbaya sana....Utasikia:-

"So sad"
"Jamani inaumiza sana"
"Mwili wangu wote umesisimka"
Simply because ni Mtoto wa Kizungu.

Ni unafiki wa kipuuzi sana. Ndio maana hata viongozi wetu wanatuongoza kinafiki nafiki.

Unajifanya unajali sana mtoto mmoja wa kizungu anaye ugua Cancer.. Wakati watoto wa kiafrika huku barani Africa wanakufa kila kukicha.....
View attachment 447106

Point sana....eti ndo anaonekana muhanga wa kustahili huruma
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,136
2,000
Unafiki mbaya sana....Utasikia:-

"So sad"
"Jamani inaumiza sana"
"Mwili wangu wote umesisimka"
Simply because ni Mtoto wa Kizungu.

Ni unafiki wa kipuuzi sana. Ndio maana hata viongozi wetu wanatuongoza kinafiki nafiki.

Unajifanya unajali sana mtoto mmoja wa kizungu anaye ugua Cancer.. Wakati watoto wa kiafrika huku barani Africa wanakufa kila kukicha.....
View attachment 447106
Tuacheni unafiki wa kujipendekeza.

Katika kipindi/muda ambacho Dogo Bradley ametabiriwa kuishi kabla hajakutana na Kifo chake, bila shaka yapata watoto takribani 20 wa kiafrika watafariki. Je hao 20 si muhimu zaidi.

Au mnamaanisha tuonyeshe kuumizwa sana na mtoto Bradley kwa kuwa yeye ni wa kizungu? Halafu tuwapotezee hawa wakwetu kwa sababu kifo kwao ni kawaida?
Wewe ndio mnafiki
Hao watoto wa kiafrika ni njaa hiyo huyo wa kizungu ni cancer.njaa na cancer nini kinazuilika?
Uache ubaguzi kwenye masuala ya msingi,unatuletea picha za 1980 unalaumu watu hawasikitiki wengine hawajawahi hata kuziona
 
Social maniac

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
354
500
Wewe ndio mnafiki
Hao watoto wa kiafrika ni njaa hiyo huyo wa kizungu ni cancer.njaa na cancer nini kinazuilika?
Uache ubaguzi kwenye masuala ya msingi,unatuletea picha za 1980 unalaumu watu hawasikitiki wengine hawajawahi hata kuziona
umefikiria au umeandika tu bila kushirikisha fikra?
 
darren gold

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
318
250
Unafiki mbaya sana....Utasikia:-

"So sad"
"Jamani inaumiza sana"
"Mwili wangu wote umesisimka"
Simply because ni Mtoto wa Kizungu.

Ni unafiki wa kipuuzi sana. Ndio maana hata viongozi wetu wanatuongoza kinafiki nafiki.

Unajifanya unajali sana mtoto mmoja wa kizungu anaye ugua Cancer.. Wakati watoto wa kiafrika huku barani Africa wanakufa kila kukicha.....
View attachment 447106
Tuacheni unafiki wa kujipendekeza.

Katika kipindi/muda ambacho Dogo Bradley ametabiriwa kuishi kabla hajakutana na Kifo chake, bila shaka yapata watoto takribani 20 wa kiafrika watafariki. Je hao 20 si muhimu zaidi.

Au mnamaanisha tuonyeshe kuumizwa sana na mtoto Bradley kwa kuwa yeye ni wa kizungu? Halafu tuwapotezee hawa wakwetu kwa sababu kifo kwao ni kawaida?
hao ni was.enge tu wanaoleta shobo kwa wazungu. kum.amama zao.
 
fazam

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
1,685
2,000
cdhani kama ni unafiki wa sisi wat wa chini ila ni watu wenye uwezo wa kufanya kitu kama hicho ndio wanafiki...i mean wenye nafasi kutowajali wa chini.....mf watu wenye social media au viongozi ...hata bradley issue yake ingekuwa promoted na john wa kawaida england isingepata popularity kama hii....akitokea mwafrika akaweka lets pray for aliyescorpiniwa ...we will
 
Habibu B. Anga

Verified Member
May 7, 2013
6,656
2,000
Kuna waafrika wengi wabaguzi wakutupwa alafu wanajifanya kupinga ubaguzi!!

Mda mwingine ni heri ya wazungu wanafanya ubaguzi wao kwa kujiibaiba na kujificha kuliko baadhi ya weusi wengi ubaguzi wao ni dhahiri kabisa..

Uliyeandika hii thread wewe ni mbaguzi chronic na unapaswa kupingwa kwenye Jami..
 
lukesam

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
10,690
2,000
Sijui wewe umelichukuliaje hili la huyu mtoto..

Mimi niliumia sana niliposikia amebakiza siku kadhaa tu za kuishi hapa duniani..hicho ndicho kilichoniumiza..na kwa ubinadamu tu lazima uumie sana pale unaposikia mtu ameambiwa amebakiza siku chache za kuishi,haswa kwa mtoto kama yule!!

Hawa wetu huku sijasikia taarifa za kitabibu zikisema wamebakiza mwezi tu wa kuishi..ningesikia na kuwaona pia ningeumizwa sana!
 
FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,348
2,000
Sioni hata pointi yako hapo...huyo ni Mtoto wa kizungu na analiliwa na Wazungu wenzake kwa matatizo ambayo hajajitakia, nadhani wana haki ya kufanya hivyo.

Hayo matatizo yenu ya Africa unataka nani awahurumie? haohao Wazungu wakiwahimiza kuzaa kwa mpango mnawashutumu kuwa wana wivu na hawataki muongezeke.
 
demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,407
2,000
Wewe ndio mnafiki
Hao watoto wa kiafrika ni njaa hiyo huyo wa kizungu ni cancer.njaa na cancer nini kinazuilika?
Uache ubaguzi kwenye masuala ya msingi,unatuletea picha za 1980 unalaumu watu hawasikitiki wengine hawajawahi hata kuziona
Kuna uzi Umeandikwa:

"Merry Christmass Bradley."

Wewe mwenyewe Umeshawahi kuwatakia Heri ya Christimass hawa watoto wa kiafrika...?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom