MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Mfanyabiashara mkubwa jijini Dar es Salaam na mmiliki wa vyombo vya habari (blog ya wananchi na live straight talk) ndg Lemutuz anatoa hela kwa shindano alilolianzisha na hivyo wataalam wa mambo kutafsiri kama fursa kwa vijana kutoka kwa tajiri huyoo huko instagram.
katika shindano lake la kwanza Lemutuz au akili kubwa kama anavyoitwa na wasomi nchini alitaka mashabiki wake washindane kutaja majina ya watu aliopiga nao hii picha,huku akitaka pia wataje muda wakati picha hiyo inachukuliwa,bila kusahau tarehe huku akitaka pia wadau waseme kama alkuwa amelewa au laa na kama alkuwa amelewa basi alkuwa amkunywa bia ngapi ambapo hamna mtu aliyeweza kupata hiyo hela na hivyo kuamua kuja na swali lingine hapo baadae