Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bajeti yetu tunayotegemea marekani kila mwaka ina maana huko kwao hakuna masikini mpaka watupatie sisi?Vituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
fikra ndogoVituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
ShuduVituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
Akili fupi km nyundoVituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
MajunguVituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
kwani marekani anapo kupa msaada kwani yeye kwake hana ombaomba/mwenye shida...! Acha u team usikuwa na faidaVituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
Kwani hao wafanyakazi hawana mishahara au ndio kutafuta sifa za kijinga? Mbona yupo stage show wao amejenga kwa mshahara na show anazofanya na WCB? Acha uzuzu weweVituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
Ndo nn vile hii kitu?
Manabii wangekuwa na roho kama yako...Dunia ingekuwa bado kipindi cha Ujima.Vituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!
Nimekuelewa mkuu, sadaka yangu siipeleki tena kanisani maana kwetu kuna masikini wa kumwagaVituko wanatoa nyumba tano msaada wakati wasanii na wafanyakazi wa WCB bado wamepanga!