Ntv Kenya - Wimbo wa 'aje haukustahili video bora ya mwaka

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
8,860
2,000
Nipo naangalia Ntv ya Kenya kwenye kipindi chao cha uchambuzi wa sanaa na wasanii maarufu kama UDAKU wameongelea tuzo za Eatv na wamezisifia.

Wakasema pia sababu za Diamond kutokuwepo kwenye tuzo hizo( hakuchukua form) ila pamoja na hayo wakasema yeye ndio alistahili video bora ya mwaka (sijui kwa wimbo gani) na kwamba video ya Aje haina sifa za kuwa video bora ya mwaka ila kuwa wimbo wa mwaka sio tatizo.

Ila suala la mtu kuchukua form za kushiriki tuzo kwa mwaka huu kwa sababu ni mwanzo sawa ila mwakani wanapaswa kuangalia hilo.
 

zimaroho

JF-Expert Member
May 16, 2014
249
225
Waanzishe za kwao za kuzingatia ubora, za eatv zinazingatia wingi wa kura.
 

Gne gner

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
504
500
Nipo naangalia ntv ya kenya kwenye kipindi chao cha uchambuzi wa sanaa na wasanii maarufu kama UDAKU wameongelea tuzo za eatv na wamezisifia. Wakasema pia sababu za Diamond kutokuwepo kwenye tuzo hizo( hakuchukua form) ila pamoja na hayo wakasema yeye ndio alistahili video bora ya mwaka (sijui kwa wimbo gani) na kwamba video ya Aje haina sifa za kuwa video bora ya mwaka ila kuwa wimbo wa mwaka sio tatizo. Ila suala la mtu kuchukua form za kushiriki tuzo kwa mwaka huu kwa sababu ni mwanzo sawa ila mwakani wanapaswa kuangalia hilo.
Kwani hao wanaoongea si watu kama wewe,,,kwani kila wasemacho kinaweza kua sahihi,,,...
 

babake nasreen

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
699
500
Hamna cha mond wala nani,we kwako nzuri kwetu ss wengi tumeioyona mbuuuu nyingi tumempa king wengine mkanunue big boom mmung'unye
 

tamadunimusic

JF-Expert Member
May 27, 2015
553
1,000
Ndio tulivo walimwengu, hapo ata angeshinda ben pol bado washabiki wa Alikiba wangekuja kuponda kuwa moyo mashine haikustahili kuwa video bora, kitu kingine huwezi kushinda kama huna kura, naamini walimpigia kura ben pol ukitoa yeye basi ni watu wake wa karibu, ila wote wanaolalamika ata jinsi ya kupiga kura tu hawajui ila maneno sasa milion na kidogo

Wizkid mtv amebeba tunzo kama 4 na watu tulisema anastahili kwakuwa alikuwa na mwaka mzuri sana, sasa kwa kigezo hicho hicho Alikiba amekuwa na mwaka mzuri sana tofauti na ben, kama alistahili kuwa msanii bora wa kiume basi hakuna cha ajabu kushinda hizo zingine, wengine watasema sheta alistahili ilmradi tu Ali aonekane hakustahili hizi team msanii pinzani akifanya vzr wanahamia upande mwingine kukosoa
 

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,277
2,000
Kweli alikiba yuko over rated ila sijawahi ona wimbo wake mzuri
Diamond anajioverrate
 

mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,203
2,000
Kwani Kenya wao ndio wana roho nzuri sana au ndio taifa linasolema ukweli?! Kama hata hawajui ni video gani inastahili kushinda ya Diamond why waseme yeye ndio alistahili?! Wana unafiki tu hao kama Diamonda angepata tuzo hiyo na awe ameshindanishwa na msanii wa kenya wangesema Diamond hakustahili ilitakiwa iende Kenya.
 

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,396
2,000
Hao wakenya hawajui kama hao walioandaa hizo tuzo (EATV) walikusudia kumpa nani,ndio maana wao wanaongea facts ambazo ni ukweli mtupu,lakini hazina nafasi kwenye lengo la waandaaji.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom