Baada ya Kipindi cha Shilawadu kukumbwa na misuko suko clouds wamekuja na kipindi kingine cha ukwaju wa meja Jenerali, kinachorushwa na Musa Hussein
msikilize hapa alivyokitangaza leo
Habari zenu wana JF
Ikiwa ni jumapili Mubashara kabsaaaa kwangu lakini kwa upande wa Prince Daud Albert Bashite(jina lake halali kabsa) alimaarufu kama Paul C. Makonda(jina feki) mambo ni Mabaya...
Habari ya muda huu wana jukwaa. Nimejaribu kulinganisha sebene za wasanii mbalimbali hasa kutoka DRC nikaona werrason sebene zake zinakimbiza ile mbaya, mfano Kata fumbwa, mipende na mzigo...
Msanii anayeibukia kwa kasi akiwa na mbunge wa Mbeya Mjini walitinga ofisi za Cloud s Media kuwapa pole kwa walichofanyiwa na Makonda
waandishi wa habri walionekana kumzonga super star huyo mara...
Wana jamvi wenzangu
Nimekaa toka jana jion nikifikilia kwanin mtumish wa mungu anaweza kufanya maovu ya namna ile ya kumzalisha mwanamke haraf kumtelekeza huku akijua kabisa yeye ni moja ya...
Sabakher Wadau;
Nimevumilia Ila Naona Sasa Mambo Yananifika Shingon! Jaman Yf Wangu Anampenda Diamond Mpaka Mi Naona Wiv Wa Kufa Mtu!!
Hebu Chek;
Profile Picture Fb Kamuweka Diamond.
Profile...
Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habari kama za kijasusi vile, tena nzito nzito na anazileta bila woga. Na wakati mwingine nabak najiuliza huyu dada ni nani?
Hivi mume wa huyu...
Habari zenu wanajamvi ?
Kwa niaba yenu wapenzi wa hii forum yetu pendwa ya celebrities ,leo nimeamua kuja na wazo la kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono magufuli na bashite wake...
Kipo kipaji kimoja kikongwe sana cha r n b kinaitwa Nuruel. Huyu jamaa ni mwanamuziki kweli. Ni zaidi ya Raymond. Alitoka na 'mng'aro wa silver. Akaja na kilio. Akaja kuimba na b band wimbo wa...
Nimeshangaa katika pitapita zangu instagram kukuta Mange Kimambi kafuta post zake zote za kukashifu wengine, kampain choma kadi ya CCM etc. Nilichokikuta na posts za yeye na Familia yake tu.
Huyu...
Hii Picha imeniaminisha kwamba lulu ameachana na majizo maana sio kwa kukonda huko.[emoji116] [emoji116]
Check hii Picha akiwa na majizo[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Kumbe pesa sabuni ya...
Ni takribani miezi sita sijamsikia huyu jamaa aliyejizolea umaarufu kutoka kwa wake zetu akiaminika aliweza kuwasaidia wamama kupata matumaini yao yaliyopotea kufuatia kukosa nguvu za kike na...
MUZIKI unachukua sehemu kubwa ya maisha yetu ya kila siku, umekuwa ukitupa faraja pale tunapoonekana kukata tamaa, ukitajiririsha ile furaha tuliyonayo katika nafsi zetu na kuturejeshea kumbukumbu...
Wakuu, Leo katika pitapita zangu huko you tube nimekutana na video ya msanii Rama dee inaitwa - Kipenda roho
Aisee ni bonge moja ya rnb song
Kinacho nishangaza ni kwanini haikupewa na mpaka sasa...
Wadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema...
wakuu mkipitia katika page za timu ya KRC-GENK, ya belgium anakocheza mtanzania mwenzetu mbwana samatta,, utakuta wabongo wamezifollow page za facebook na instagram za hiyo timu,sasa kimbembe...