Diamond na wimbo wake

ranjan

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
338
288
Wakuu mbona diamond haufanyii promo wimbo wake mpya aloutoa last week? Ni kwamba ameupotezea baada ya kelele za mitandaoni?
 
Promo gani tena, kuna mtu unadhani hajausikia? Mwenzenu kapiga hela ndefu mno wala haihitaji shule kujua hilo!
 
Promo gani tena, kuna mtu unadhani hajausikia? Mwenzenu kapiga hela ndefu mno wala haihitaji shule kujua hilo!
Mie cjaupata ,alie nao urushe humu huku wadau wanauhitaji sana!!!
 
ile sio official song...ni km bonus...ni km zle nyimbo zke za kizaizai su uswaz take away remix
 
Back
Top Bottom