Wabana pua waomba poo kwa Nay wa mitego,Rich Mavoko aanza kulialia

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Wabana pua na vinyimbo vyao vya mapenzi wameshindwa kufurukuta katika kipindi hiki ambacho Mashabiki wako alerted na mambo ya kisiasa yanayoendelea nchini. Hali hii imewafanya washindwe kutoa ngoma zao ili kuepuka kubuma. Richmavoko amekili kuwa hali yao ni mbaya sana kimuziki na amesema haya
"haya Mkimaliza Mambo Zenu Za Siasa Mtupe Tarehe Na Sisi Tufumue Hiii [HASHTAG]#Showme[/HASHTAG]"

Kwa upande wa wanamuziki wa kufokafoka wamewaasa wabana Pua kama kina Diamond,WCB wasitoe kwanza ngoma zao ikiwezekana mpaka labda 2018 ili waiweke sawa nchi. Haya ni majibu ya Nay wa Mitego juu ya kile wanacholilia wabana pua.

"NAOMBA MUENDELEE KUSUBILI, MAY BE MPAKA MWAKANI 2018, NDO MTAANZA KUJISHUGHULISHA NA MASWALA YA KUWAIMBIA WANA NCHI. MWAMBIENI NA BABA YENU PIA AWE MPOLE KWASASA ALEE WATOTO. KAZI TULIYO NAYO IKIENDA SAWA TUTA WARUHUSU MUENDELEE KUBURUDISHA WANA NCHI. TUNATAKA MAMBO YAENDA SAWA KWANZA.

Hali ni mbaya mpaka kwa comedians
561b926c6812d231b017983777f25ca2.jpg


Yetu macho na kuna kila dalili wabana pua wakapotea kabisa kwenye ramani ya muziki maana mashabiki wak busy na hali ya kisiasa nchini.


Je,Ule urafiki wa Nay wa Mitego na Diamond umeingia DOA kwa sababu diamond anashabikia upande wa wavamizi wa vituo vya radio,wafoji vyeti na wanaotumia dola kuteka watu?
 
Nakubaliana na mleta uzi, Rayvanny katoa wimbo na Bahati wa Kenya hakuna hata anayehangaika,

Namshauri kaka angu Johmakini asirogwe kutoa saivi ngoma yake na Davido, itabuma mbayaaaa. Watu tumepagawa na Bashite anavyoipeleka msobemsobe nchi
 
Siamini nchi inaendeshwa kwa kick, siasa inafunika muziki, wanagombania front page wauze kwenye gazeti..- Nay wa mitego
 
Back
Top Bottom