Roma: Boss Ruge amehangaika na sisi kuanzia asubuhi mpaka sasa tupo pamoja naye

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,107
My take,

Roma anaweza akawa amepigwa biti asiseme alikuwa amefichwa wapi, lakini naamini Ruge ndiye mtu sahihi wa kumuhoji hawa madogo walikuwa wapi??

Kama alihangaika nao kuanzia asubuhi ya Jana mpaka usiku ni wazi kuwa anajua aliwahangaikia wapi na kwa Muda gani. Ruge kwenye hili wewe ndo utasema ukweli.

Ombi:
Ruge Kama utafanya lolote kumuokoa yeyote kwenye hili Tope, Muda ndo utakaoamua mustakabali wa biashara yako.
[HASHTAG]#kumbukauvamizi[/HASHTAG]
 
Hebu ngoja tuone mwisho mwa hii game?
hiyo j3 naamini hilo swqli ataulizwa ruge amewafahamu vipi hao watekaji
 
Bashite atuambie alikowaficha maana alitoa ahadi lazima awapate kabla ya jumapili!
Sasa atuambie alikowapata..
 
Bashite hivi anadhani bado yuko koromije?
Yaani mkuu ile utekaji hata mtoto wa std7 anaweza akawazidi akili....
Unakwenda kuwa chukua watu usiowajua??
Unakwenda na Noah yenye siti7, afu mpo watano?? So una siti2 tu tupu.
Unachukua watu wanne, unamchukua na houseboy unawaacha wasanii wengine hapo nje??
Unachukua tv....... What was your mission....
 
Back
Top Bottom