HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,413
- 6,134
Tuko pamoja mtumishi
Askofu feki
Wewe ya mchungaji wako unayajua...Kama ni yeye kweli kaandika hivyo,Mungu awasaidie waumini wake kuijua kweli itawaweka huru
Walete babaaa, waleteee...
Hamna nidhamu ya uoga dunia hii.. mambo ya samehe hakuna hapa upanga kwa upanga jino kwa jino mamaeeeHuyu naye anatumia kanisa vibaya. Visasi tu, Yale mafunzo yanayosema samehe anayafundishaje kanisani kwake? Du hii kali
Ha ha haaaababa mchungaji hajawahi kuniangusha.