Mrisho Mpoto kimemsibu nini!?? Kila kitu ni sawa awamu hii!? Nani kakufumba Mdomo!??

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,612
23,445
Kwa Hali ya taharuki iliyopo nchini kila kukicha laiti kama ingekuwa ni awamu ile huyu Mpoto saivi angekuwa na album...

Sasa ni nani kamfumba mdomo huyu mwanamashairi maarufu asiyeona haya ikosoa Serikali..

Nakuuliza Mpoto

Mbona umekaa kimya sana!??

Kila kitu kiko sawa!??

Nani kakufumba mdomo!? Au umejifunga mwenyewe...!??

Ulivyokua wamchana Mjomba mbona sasa washindwa kwa Sizonje!??

Kuna nini Mpootooo... Nakuuliza wewe Mpoto.
 
Unafikiri kutekwa kuzuri, Nyie watu mbona mnapenda kuchochea ugomvi wa hawa wasanii na serikali yao!!!

Alishatoa single ya SIZONJE kama angalizo tu so mengine atajiongeza mwenyewe huyo sizonje. Lakini jumbe za nyimbo za Mpoto hazichuji hata kwenye awamu hii bado zinaigusa ila sasa hivi ilibidi aongeze mambo ya kutokujaribiwa na kufumuliwa marinda.
 
Hahaahaa... Ameufyata...

Ila anaidhurumu sana nafsi yake..

Kawekwa mfukoni.
 
Kwa Hali ya taharuki iliyopo nchini kila kukicha laiti kama ingekuwa ni awamu ile huyu Mpoto saivi angekuwa na album...

Sasa ni nani kamfumba mdomo huyu mwanamashairi maarufu asiyeona haya ikosoa Serikali..

Nakuuliza Mpoto

Mbona umekaa kimya sana!??

Kila kitu kiko sawa!??

Nani kakufumba mdomo!? Au umejifunga mwenyewe...!??

Ulivyokua wamchana Mjomba mbona sasa washindwa kwa Sizonje!??

Kuna nini Mpootooo... Nakuuliza wewe Mpoto.
Tender za matangazo mbalimbali ya wizara ndiyo yamemtia upofu ingawa pia huyo ni mnafiki by nature.
 
Kwa hali ilvyo tete kila mtu anapgania ugali wa familia yake, mawaziri wenyew wanaujua ukwel ila wanaogopa kufungua midomo yao kufanya maamuzi, isingkuw kutetea ugali wa familia mwakisu angejiuzuru baada ya mkulu kufutlia mbaali swala la vyeti vya kuzaliwa.
 
Unafikiri kutekwa kuzuri, Nyie watu mbona mnapenda kuchochea ugomvi wa hawa wasanii na serikali yao!!!

Alishatoa single ya SIZONJE kama angalizo tu so mengine atajiongeza mwenyewe huyo sizonje. Lakini jumbe za nyimbo za Mpoto hazichuji hata kwenye awamu hii bado zinaigusa ila sasa hivi ilibidi aongeze mambo ya kutokujaribiwa na kufumuliwa marinda.
hahahaahha
 
Njaa tu ilikua inamsumbua...sahizi kashiba hana huo mda..jamaa anapush Prado apartment toangoma miradi kibao hebu msimgombanishe na mkulu....
 
Back
Top Bottom