geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,036
- 7,220
Roma ataongea saa ngapi Leo....
Aise, kazi kweli kweli.Sijui saa ngapi, mwenye kujua atujuze manake, story zishaanza kuwa nyingi kila mtu na yake
View attachment 493573
Utasubiri sana, ushaambiwa Roma mkatoriki, wakatoriki huwa hawaongeiNasubiria kwa hamu
Aliahidiwa record deal WasafiSijui saa ngapi, mwenye kujua atujuze manake, story zishaanza kuwa nyingi kila mtu na yake
View attachment 493573
Utasubiri sana, ushaambiwa Roma mkatoriki, wakatoriki huwa hawaongei
Ni Jumatatu ya pasakaAlisema jumatatu ila hakusema ni jumatatu ipi labda hakumanisha jumatatu hii tumpe mda,
Hahahaaa mm nacheka coz mchezo niliujua kabla....kuwa hapa kuna masnema yanafanyikaMtu aliyetekwa,watu wamemlilia na kumtafuta,anapata ukombozi anapatikana halafu anaulizwa ilikuaje anasema ntaongea wiki ijayo..!
Kweli watanzania tumefanywa wajinga hasa