Toka huyu jamaa Gwajima ajifanye anajua siri za watu na kuwaumbua kwenye kanisa lake fake, hakuna cha maana anachoongea kuhusu wabaya wake zaidi ya kuchukua udaku wa kwenye mitandao ya kijamii (kiporo) na kusambaza kwenye kanisa lake na kujifanya yeye ni moto wa kuotea mbali. Mfano kwenye sakata la Makonda, alijifanya anajua elimu ya Makonda kiundani na kuanza kumchambua mkuu wa mkoa huyo kitu ambacho kilishafanywa na baadhi ya maadui zake huko instagram. Yeye alichofanya ni ku copy paste then akabadilisha font type basi, hivyo kufanya taarifa zake kuhusu mkuu wa mkoa kukosa mashiko kwa kutoa info zilizochacha.
Sakata jipya la Diamond kuhusu wimbo wake mpya, mchungaji huyo aliahidi kumchambua msanii huyo, ambapo aliishia tu kuongelea issue ya Diamond kujiunga na freemason, scandal ambayo imechacha na haina mashiko.
Kwenye sakata hili nimemuona Diamond mjinga kufikia hatua ya kumuomba msamaha Gwajima kwa kuhofia kuchafuliwa kwa kashfa nzito. Hali hiyo ya anayejiita simba kufikia hatua hiyo imeongeza doubt kwa mashabiki zake huenda msanii huyo ana siri chafu na anaogopa kuumbuliwa.
Binafsi ningemshauri angekaa kimya tu kama alivyofanya Makonda ambapo alitukanwa na mchungaji huyo na akuthubutu kuomba msamaha wala kuongelea chochote kuhusu matusi hayo, hivyo kwangu Makonda ni shujaa na simba.