Stamina: Msanii wa kiume kujichubua ni poa tu, hakuna tatizo

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,940
19,130
Msanii kutoka Moro Town, Stamina amesema haoni tatizo msanii wa kiume kujichubua kwani mtu huyo kabla hajawa msanii alikuwa kawaida ila baada ya kuwa msanii unakuta anachora tatoo na kuvaa hereni na watu hawaongei hivyo hata wakijichubua ni sawa tu tu na hayona haifai kuwasema vibaya
 
ni kweli washafanya mengi ya ajabu ajabu wacha wajichubue tu. watuwanapiga picha Msambwanda, Halafu ambao hata hatujawategemea
 
Ndio maana namshangaa sana mzazi anayemruhusu mtoto kuwa msanii.
 
Kama wanapiga picha za mata*o sioni tatizo wakaijichubua..kwanza wasanii wa kiume siku hizi hakuna,maana wanavaa nguo za kike wote,suruali zinawabana mapaja utadhani madada poa
 
Back
Top Bottom