Nucky Thompson JF-Expert Member Sep 20, 2016 1,817 4,061 May 22, 2017 #1 Ney wa Mitego amedai yeye haimbi siasa ila anaimba mambo yaliyopo kwenye jamii, na mbunge au waziri au rais ni sehemu ya jamii
Ney wa Mitego amedai yeye haimbi siasa ila anaimba mambo yaliyopo kwenye jamii, na mbunge au waziri au rais ni sehemu ya jamii
NALIA NGWENA JF-Expert Member Oct 6, 2016 10,577 13,417 May 22, 2017 #2 Muvi nyngine hyoooooooooo iitwe Ney vs mwakiembe.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,008 May 23, 2017 #3 Huyu mzee hamjui Ney vizuri..!! Nyimbo ijayo ya Ney asipochanwa sijui....