Anavyofanya huyu Mchungaji ndivyo Mwenyezi Mungu na Yesu Kristo wanavyotaka au walivyoagiza?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Ukiingia tu Kanisani Kwake utakuta kuna Viti vimeshapangwa kabisa ambapo......
  • Vya mbele kabisa hukaa VIP wa Kikristo
  • Vya katikatika kabisa hukaa wanaojitahidi kuufukuzia u VIP wa Kikristo
  • Vya nyuma kabisa hukaa sisi Mangumbaru / Masikini wa Kikristo ( tunaouota u VIP )
Na hata katika utoaji wa Sadaka vile Vikapu huwa vinatiririshwa na kuserereshwa Kwanza katika viti vya mbele na vya kati na wakishajiridhisha na Kipato walichokikusudia sasa ndipo hutukumbuka akina Mangumbaru / Masikini siye huku viti vya nyuma ambao pia huwa tumebanana utafikiri Ndizi za Bukoba.

Naomba kuuliza Waumini wenzangu wa Kikristo je haya anayoyafanya huyu Mchungaji ndivyo hata maagizo ya Mwenyezi Mungu au Yesu Kristo wa Nazareth yalivyosema? Kumbe hata Mbinguni si ajabu na kwenyewe tukapangwa hivi?

Karibuni katika utiririkaji na usererekaji juu ya hili kwani binafsi nimechoka sasa na huu Ubaguzi wa wazi wazi wa Kiroho na huyu Mchungaji kama asipobadilika anaweza kunifanya ama niachane tu na Ukristo niwe Mpagani au nihamie tu kwa Ndugu zetu ambao Mwenyezi Mungu / Allah akipenda basi kati ya Ijumaa au Jumamosi ijayo wataanza kutusababisha tuwe katika likizo ndefu kidogo ya kutokwenda Guest / Lodge, kunywa Bia, Kutongoza, Kutukana na Kudanganya.

Jumapili njema.
 
Kilichoagizwa na kinachotakwa ni Habari njema tu iwafikie watu wote bila kubagua ( Yaani Injili ihubiriwe kwa watu wote),ukilijua hilo hayo mengine utapata majibu yake.
 
Ukiingia tu Kanisani Kwake utakuta kuna Viti vimeshapangwa kabisa ambapo......
  • Vya mbele kabisa hukaa VIP wa Kikristo
  • Vya katikatika kabisa hukaa wanaojitahidi kuufukuzia u VIP wa Kikristo
  • Vya nyuma kabisa hukaa sisi Mangumbaru / Masikini wa Kikristo ( tunaouota u VIP )
Na hata katika utoaji wa Sadaka vile Vikapu huwa vinatiririshwa na kuserereshwa Kwanza katika viti vya mbele na vya kati na wakishajiridhisha na Kipato walichokikusudia sasa ndipo hutukumbuka akina Mangumbaru / Masikini siye huku viti vya nyuma ambao pia huwa tumebanana utafikiri Ndizi za Bukoba.

Naomba kuuliza Waumini wenzangu wa Kikristo je haya anayoyafanya huyu Mchungaji ndivyo hata maagizo ya Mwenyezi Mungu au Yesu Kristo wa Nazareth yalivyosema? Kumbe hata Mbinguni si ajabu na kwenyewe tukapangwa hivi?

Karibuni katika utiririkaji na usererekaji juu ya hili kwani binafsi nimechoka sasa na huu Ubaguzi wa wazi wazi wa Kiroho na huyu Mchungaji kama asipobadilika anaweza kunifanya ama niachane tu na Ukristo niwe Mpagani au nihamie tu kwa Ndugu zetu ambao Mwenyezi Mungu / Allah akipenda basi kati ya Ijumaa au Jumamosi ijayo wataanza kutusababisha tuwe katika likizo ndefu kidogo ya kutokwenda Guest / Lodge, kunywa Bia, Kutongoza, Kutukana na Kudanganya.

Jumapili njema.
Ahaa imeandikwa usikae siti ya mbele bwana harusi akija itakuwa shida utapelekwa back bench kwa aibu, Kaka maandiko yana kila kitu Ishu kila mtu anatafsiri kwa akili zake na mazingira yake, mbele usipende kukaa
 
Ukiingia tu Kanisani Kwake utakuta kuna Viti vimeshapangwa kabisa ambapo......
  • Vya mbele kabisa hukaa VIP wa Kikristo
  • Vya katikatika kabisa hukaa wanaojitahidi kuufukuzia u VIP wa Kikristo
  • Vya nyuma kabisa hukaa sisi Mangumbaru / Masikini wa Kikristo ( tunaouota u VIP )
Na hata katika utoaji wa Sadaka vile Vikapu huwa vinatiririshwa na kuserereshwa Kwanza katika viti vya mbele na vya kati na wakishajiridhisha na Kipato walichokikusudia sasa ndipo hutukumbuka akina Mangumbaru / Masikini siye huku viti vya nyuma ambao pia huwa tumebanana utafikiri Ndizi za Bukoba.

Naomba kuuliza Waumini wenzangu wa Kikristo je haya anayoyafanya huyu Mchungaji ndivyo hata maagizo ya Mwenyezi Mungu au Yesu Kristo wa Nazareth yalivyosema? Kumbe hata Mbinguni si ajabu na kwenyewe tukapangwa hivi?

Karibuni katika utiririkaji na usererekaji juu ya hili kwani binafsi nimechoka sasa na huu Ubaguzi wa wazi wazi wa Kiroho na huyu Mchungaji kama asipobadilika anaweza kunifanya ama niachane tu na Ukristo niwe Mpagani au nihamie tu kwa Ndugu zetu ambao Mwenyezi Mungu / Allah akipenda basi kati ya Ijumaa au Jumamosi ijayo wataanza kutusababisha tuwe katika likizo ndefu kidogo ya kutokwenda Guest / Lodge, kunywa Bia, Kutongoza, Kutukana na Kudanganya.

Jumapili njema.
Kawaulize lumumba wenzako wa buku saba
 
Back
Top Bottom