MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
Kuna Kiongozi mmoja maarufu sana wa Kidini hapa nchini Tanzania amesikika akitoa mafunzo maalum ya Wanandoa na kusikika akisema kuwa Kisheria Wanandoa wanapokuwa wapo chumbani iwe ama wamekaa tuu au wamejipumzisha hawapashwi kuwa na nguo zao bali wanatakiwa kuwa watupu.
Moja ya sababu kubwa iliyopelekea huyu Kiongozi kuyasema haya ni kwamba anadai katika Vitabu vingi vya dini Mwenyezi Mungu amekuwa akituambia kuwa anataka tuzaane sana na tuijaze mno dunia hivyo kitendo cha Wanandoa wawapo Chumbani huku wakiwa wamevaa nguo zao kunapunguza uwezekano wa dunia hii kuongezeka hivyo binadamu tunaenda kinyume na matakwa pamoja na maandiko na Mungu.
Je wana jamvi hili lina usahihi au upotoshaji gani. Tuelimishane tafadhali!