Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,473
- 4,787
Kwenye mada straight...kiukweli Ali kiba ni mfano wa wasanii wa kuigwa katika vitu anavifanya
Mojawapo ni mavazi anayovaa,anavaa nguo nzuri za kueleweka,pili hajirembi katika videos ye hanaga mambo mengi sijui kutengeneza style flanii za nywele ananyoa kawaida tuu tena vizuri na anapendeza.pia havai mamikufu,macheni kama wasanii wengine..hope mnawafahamu...kingine ali kiba havai au kubandika hereni masikioni kama akina platnumz,rayvanny,ommy dimpozi,neddy,nuhu na wengine...afu hapendi kiki,sio mtu wa kiki akitoa ngoma kuanza kupromote kijinga au kutupa mapicha ya ovyo mitandaoni na vitu kama ivo.
pia ana maadili nyimbo zake nyingi anazoimba zina ujumbe na zinaeleweka si za matusi au kudiss...jamaa yuko poa sana anajua nampa respect sana nikimcompare na wasanii wa kiumeni wengine.
tuyaache mapungufu yake mengine jinsi anavyoongea na watu au katika interviews,na mahusiano...na mengine.
[HASHTAG]#nooneisperfectbutyoucanchangeandstopacting[/HASHTAG]