chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 15,093
- 25,840
Kuna taarifa inasambaa mitandaoni kwa kasi kutoka kwa mtu anayejitambulisha kwa jina la bundala,mtumishi wa sahara media akidai kwamba mahojiano yatakayofanyika na bwana bashite hapo STARTV yanaweza kumuumbua mmoja ya watangazaji ambaye inasemekana ana vyeti feki!
Katika andiko hilo ametahadharisha mambo mengi pamoja na hilo
Waandishi walioandaliwa kufanya mahojiano na makonda,kwa mujibu wa tangazo linalozunguka mitandaoni, ni Leonard Mapuli na Aloyce Nyanda
Ni nani kati yao ana vyeti feki?