Billboard Music Awards 2017; Drake azoa tuzo.13

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
5,069
4,895
Tuzo za chati kubwa duniani Billboard awards zimemalizika alfajiri ya leo uko Las Vegas, N.V, Marekani.

Msanii wa Hip Hop Drake amevunja rekodi ya kubeba tuzo nyingi za billboard iliokuwa inashikiliwa na Adele tuzo 12, Drake ameshinda tuzo 13, uku wimbo wa one dance alioshirikishwa Wiz Kid umeondoka na tuzo 3, uku album ya Viwes ikibeba tuzo 2, category zingine alizoshinda ni top arstist, top rap artist, top male artist n.k

b595591397eff4c9b74a3b9b330dd464.jpg


Wanaomfatia Drake kwa tuzo ni Beyonce aliobeba tuzo 5 na kundi la Twenty One Pilots nao walichukua tuzo 5.

The Chainsmokers waliweza pia ondoka na tuzo 4, Justin Timberlake tuzo 2.

Performance zilifanywa na wasanii.Nick Minaj, Drake, Ed Sheeran, 21 pilots.

Full list ya washindi
Top Artist - Drake

Top New Artist - Zayn

Billboard Chart Achievement Award Presented by Xfinity - Twenty One Pilots

Top Hot 100 Song - The Chainsmokers - "Closer (ft. Halsey)”

Top Billboard 200 Album - Drake -
Views

Top Male Artist - Drake

Top Social Artist - BTS

Top Female Artist - Beyoncé

Top Duo/Group - Twenty One Pilots

Top Billboard 200 Artist - Drake

Top Hot 100 Artist - Drake

Top Song Sales Artist - Drake

Top Radio Songs Artist - Twenty One Pilots

Top Streaming Songs Artist - Drake

Top Touring Artist - Beyoncé

Top R&B Artist - Beyoncé

Top R&B Tour - Beyoncé

Top Rap Artist - Drake

Top Rap Tour - Drake

Top Country Artist - Blake Shelton

Top Country Song - Florida Georgia Line - “H.O.L.Y.”

Top Country Tour - Kenny Chesney

Top Rock Artist - Twenty One Pilots

Top Rock Tour - Coldplay

Top Latin Artist - Juan Gabriel

Top Dance/Electronic Artist - The Chainsmokers

Top Christian Artist - Lauren Daigle

Top Gospel Artist - Kirk Franklin

Top Soundtrack/Cast Album -
Hamilton: An American Musical

Top R&B Album - Beyoncé - Lemonade

Top Rap Album - Drake - Views

Top Country Album - Chris Stapleton -
Traveller

Top Rock Album - Metallica -
Hardwired…To Self Destruct

Top Latin Album - Juan Gabriel - Los Duo 2

Top Dance/Electronic Album - Lindsey Stirling - Brave Enough

Top Christian Album - Lauren Daigle -
How Can It Be

Top Gospel Album - Tamela Mann -
One Way

Top Selling Song - Justin Timberlake - “Can’t Stop The Feeling!”

Top Radio Song - Justin Timberlake - “Can’t Stop The Feeling!”

Top Streaming Song (Audio) - Drake - “One Dance (ft. WizKid & Kyla)”

Top Streaming Song (Video) -
Desiigner - "Panda"

Top Collaboration - The Chainsmokers - “Closer (ft. Halsey)”

Top R&B Song - Drake - “One Dance (ft. WizKid & Kyla)”

Top R&B Collaboration - Drake - “One Dance (ft. WizKid & Kyla)”

Top Rap Song - Desiigner - “Panda"

Top Rap Collaboration - Rae Sremmurd - “Black Beatles (ft. Gucci Mane)”

Top Country Collaboration - Kenny Chesney - “Setting The World On Fire (ft. Pink)”

Top Rock Song - Twenty One Pilots - “Heathens”

Top Latin Song - Nicky Jam - “Hasta El Amanecer”

Top Dance/Electronic Song - The Chainsmokers - “Closer (ft. Halsey)”

Top Christian Song - Hillary Scott & The Family - “Thy Will”

Top Gospel Song - Travis Greene - “Made A Way”

9553413236b656fdced6a0e2c2d04ed9.jpg


d9dcda54d00d63ec39f7392067e1f70f.jpg


f3303b44ba30e702d87baeb2ed92411a.jpg
 
acha tu,hafurukuti
inaniumaje

wiz sio wa bara hili tena
Haikuumi kunizidi mkuu. Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Riri... Dah

Ila ujio mpya wa Davido umeuona? If imekuja kutake over, bado pembeni kuna Tekno...ni hatari.
 
Ingekuwa TZ asee wangeongea sana afu wanaleta MBOYOYO lakini kazi ya mtu inaonekana
 
StarBoi anatoa somo kwa vijana wetu kua kazi na maneno ni vitu viwili tofauti,Wizkid ana njaa ya mafanikio na anaonekana kua anaelekea mbele ukiangalia mzigo wa come closer unajua kabisa unakuja kukomba awards kibao siku za usoni ukicheki viewers ndani ya mwezi ni 14 Million.
 
sasa meek mill anaendelea kusema anaadikiwa mashairi, yy anaye andika yuko wapi....... big up Drake ni hatare kama umeaanda ww. just kidding
 
Hivi Rihanna hatoi upinzani kabisa kwa Beyonce jamani?
Hongera zake Drake, naona Wiz atakuwa kazidi kujitangaza kupitia ushindi huo.
Hapo alikua anabeba san taylor swift.. Naona kawa kimya miaka ya karibuni
 
Duuh yalishapita nilijua september! Nilitaman kuyacheki kumbe nipo nyuma ya wakati! Mwaka jana Adele, ze weekend na Justin bieber walifaudu
 
Back
Top Bottom