Ney wa Mitego: Nyimbo nitakayotoa itawaudhi wengi, siogopi mtu

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Msanii Ney wa Mitego amedai kuna nyimbo atakayoiachia hivi karibuni ambayo itaudhi watu wengi japo kuna baadhi itawafurahisha,
nyimbo hiyo itakuwa na video kali ila hajasema ataifanyia wapi
 
Katika wasanii ambao naona gharama wanazozitumia ktk video zao na kile wanachokiingiza kutokana na muziki wao naona havilingani,basi huyu ni mmojawapo. Maana anatumia pesa nyingi sana na ana maisha makubwa mno kuliko kipato cha muziki wake.
 
yap ndivyo hivyo ilivyo, kila mtu ana akili yake kubwa ya kupata fedha,,, hapo jaribu kufuata mkumbo ufe...huyu jamaa hata kabila analotoka linambeba, anatoka kwenye kabila la wachapa kazi na wenye akili kubwa za kusaka noti... mcheki barnaba na ney wote wanatoka kabila moja pia ni miongoni mwa wasanii wenye pesa chafu na mali lukuki... **note**.. siyo lazima ujue njia mtu anazotumia kupata pesa, ukijua unaweza kumzibia riziki ndio maana inakua siri waafrika ni hatari na ndivyo tulivyo..
 
hivi ni kabila gani Huyo kijana
 
Jamaa anasaka pesa hatari kuanzia kumiliki bajaj na saloon mpaka macoaster mjini sio mchezo jamaa anakula bata ndo maana mamiziki yake anatuka tu hata kama hatumpendi bhasi tutacheka
 
Jamaa asipotoa wimbo wa diss huwa hakiki ndio maana huwa anatoa wimbo mwingine fasta kuziba gepu
 
Jamaa anasaka pesa hatari kuanzia kumiliki bajaj na saloon mpaka macoaster mjini sio mchezo jamaa anakula bata ndo maana mamiziki yake anatuka tu hata kama hatumpendi bhasi tutacheka
ninafahamu mijengo yake miwili ya maana na kuna mjengo mwingine mkubwa uko kwenye finishing hizo ndizo ninazojua but nasikia anazo zaidi ya hapo.. hivyo ndivyo wanamuziki wanatakiwa kufanya sio kula ngada kama wakina ...........
 
yap ndivyo hivyo ilivyo, kila mtu ana akili yake kubwa ya kupata fedha,,, hapo jaribu kufuata mkumbo ufe...huyu jamaa hata kabila analotoka linambeba, anatoka kwenye kabila la wachapa kazi na wenye akili kubwa za kusaka noti... mcheki barnaba na ney wote wanatoka kabila moja pia ni miongoni mwa wasanii wenye pesa chafu na mali lukuki... **note**.. siyo lazima ujue njia mtu anazotumia kupata pesa, ukijua unaweza kumzibia riziki ndio maana inakua siri waafrika ni hatari na ndivyo tulivyo..
abstractive theory.
 
Back
Top Bottom