DIAMOND platnumz azidi kungara sasa anamiliki kijibend kipya kidogo

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,404
2,000
Huyu jamaa anajua analofanya na yuko very serious katika kazi yake ya kufungua na kufyatua vibendi. Bog
Up
 

mwanaMtata

JF-Expert Member
Oct 18, 2014
2,404
2,000
Kijibend ndio nini..? Kijana sio msanii tu ni mfanya biashara na ukishakuwa mfanya biashara lazima uwe mbunifu,, so Diamond ni Mbunifu kwenye biashara ya Muziki
Mbunifu mpaka kufungua vijibendi vidogo kama icho alichompa hamisa mobeto akakiendeleze. Kibendi kina msanii mmoja tuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom