Kipanya: Msitumie akili nyingi kutafsiri katuni zangu

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
3,293
2,000
Mtangazaji wa kituo cha clouds fm na mchoraji nguli wa vibonzo nchini Ibrahimu Masoid maarufu Kama Masoid Kipanya..amesema kuwa watu wamekuwa wakitumia nguvu na akili nyingi kutafsri katuni zake jambo ambalo limekuwa likiwatoa nje ya uhalisia wa maana ya vibonzo hivyo ...na wengi wao kujikuta wakimporomoshea matusi, huku wakimtisha .....

Amesema ni akli ndogo Tu inayoweza kutumika kutafsri katuni hzo na zkaeleweka...kipanya alisema hayo wakat akiwa kwenye kpind cha power breakfast...katkat ya wiki hii. alippkua akikelezea issue ya makinikia
 

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,721
2,000
Mtangazaji wa kituo cha clouds fm na mchoraji nguli wa vibonzo nchini Ibrahimu Masoid maarufu Kama Masoid Kipanya..amesema kuwa watu wamekuwa wakitumia nguvu na akli nyingi kutafsri katuni zake jambo ambalo limekuwa likiwatoa nje ya uhalisia wa maana ya vibonzo hivyo ...na wengi wao kujikuta wakimporomoshea matusi, huku wakimtisha .....amesema ni akli ndogo Tu inayoweza kutumika kutafsri katuni hzo na zkaeleweka...kipanya alisema hayo wakat akiwa kwenye kpind cha power breakfast...katkat ya wiki hii. alippkua akikelezea issue ya makinikia
Weka iyo link au picha ya katuni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom