Kati ya Godzilla na Wakazi nani real na nani feki?

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,801
Nime jaribu kufuatilia uhalisia wa hili beef and who is real kuliko mwingine katika suala zima kla hiphop music and life style and free style

Binafsi nimempa Wakazi ushindi katika ushindani huu na nimemalizia kwa msimamo huu baada ya kusiliza diss tracks zao attached.

Je wewe unaona nani real na nani feki?
 
Attachments

  • Wakazi - Zillnass Zillnass.mp3
    2.7 MB · Views: 90
  • Kingzilla - Power.mp3
    3.3 MB · Views: 101
Namfahamu Wakazi personally, Zilla namsikia tu toka ameanza.

Zilla ni mzuri sana wa mitindo huru(freestyle) Wakazi hamgusi hata kidogo.

Kwa hizi diss track Zilla kapotezwa vibaya sana.

Zilla ana flow ambayo mtu yeyote anaweza msikiliza hata kama hupendi hip hop, anajua tasnia ya hip hop bongo na tayari ana hits kadhaa under his belt. Zilla ni mlaini ila believe me you anaweza kukaza vile vile kama wakati ameanza

Wakazi on the other end anajitahidi kuandika ila kwa flow, style yake ni ngumu sana kutoboa bongo. Anajitahidi tu ila sio muandishi mzuri wa caliber za kina Fid, Prof kama yeye anavyojiaminisha hata One, Mbishi, Stereo, Zaiid wamemzidi by miles.

Kwa sasa Wakazi kamficha Zilla, overall Zilla ni balaa.

And..oh hii beef itampa Wakazi coverage wadau wengi hawamfahamu
 
Nime jaribu kufuatilia uhalisia wa hili beef and who is real kuliko mwingine katika suala zima kla hiphop music and life style and free style

Binafsi nimempa Wakazi ushindi katika ushindani huu na nimemalizia kwa msimamo huu baada ya kusiliza diss tracks zao attached.

Je wewe unaona nani real na nani feki?

For sure wakazi kaflow vizuri zilla kama kapanic hivi
 
Namfahamu Wakazi personally, Zilla namsikia tu toka ameanza.

Zilla ni mzuri sana wa mitindo huru(freestyle) Wakazi hamgusi hata kidogo.

Kwa hizi diss track Zilla kapotezwa vibaya sana.

Zilla ana flow ambayo mtu yeyote anaweza msikiliza hata kama hupendi hip hop, anajua tasnia ya hip hop bongo na tayari ana hits kadhaa under his belt. Zilla ni mlaini ila believe me you anaweza kukaza vile vile kama wakati ameanza

Wakazi on the other end anajitahidi kuandika ila kwa flow, style yake ni ngumu sana kutoboa bongo. Anajitahidi tu ila sio muandishi mzuri wa caliber za kina Fid, Prof kama yeye anavyojiaminisha hata One, Mbishi, Stereo, Zaiid wamemzidi by miles.

Kwa sasa Wakazi kamficha Zilla, overall Zilla ni balaa.

And..oh hii beef itampa Wakazi coverage wadau wengi hawamfahamu
wewe unaujua mziki big up kaka
 
Umeandika safi sina cha kuongezea
 
Wakazi kaamua atembelee mgongo wa Zilla. Kiufupi Zilla anajua sana sana ni vile tu kwa sasa ana stress zake ila wakazi sio msanii ni mpenda muziki tu at a hii kulinganishwa na Zilla ameifosi tu.
 
wakazi hamuwezi zilla kwa mitindo huru.....uandishi na floo nzuri.... sema wakaz anaweza tumia lugha mbili kwa weredi wa juu kuliko zilla pia wakaz amesafir sana nje hasa marekani......upande wangu zilla mtubaya sana level za nikk mbish ....fid ...one labda na songael.... wakitok akina p the mc ....gheto ndio wakazi anafata. zilla ana hit song kibao zid ya wakaz.... na nina predict hii bif zilla ata win
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom