Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Napenda muziki. Kuanzia reggae, blues, kwaito, hip hop, zouk hadi rhumba kote huko nimepita ila ladha ninayoipata nisikilizapo muziki wa country sijawahi kuipata kwenye muziki mwingine wowote ule...
14 Reactions
83 Replies
14K Views
Hivi huyu mwanamziki bado yupo duniani, nilikuwa napenda sana nyimbo zake, hasa ule imekaa vibaya hi bado haijatulia Lucas Mobutu,]
1 Reactions
60 Replies
14K Views
Wanajamvi hatimaye msanii Rich Mavoko amepata usajili wake kutoka BASATA huku wakimtambua kama msanii asiyechini ya lebo ya WCB. Awali kulikuwa na mkanganyiko wa kimkataba maana WCB walikuwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna msemo usemao experience is the best teacher, msemo huu umekamilika kupitia mama mzazi wa msanii diamond platnums , baada ya kuigiza kama mama ambaye ana maisha magumu kupitiliza,huku akiwa...
2 Reactions
41 Replies
11K Views
HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange' aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Aurlus Mabele ni mwanamuziki kutokea congo kinshasa alikua maarufu sana katika band miaka ya 90 Inadaiwa amekimbiwa na mkewe aitwaye Liza ambaye alizaa nae. Nguli huyu wa muziki wa sokous...
12 Reactions
99 Replies
21K Views
Nimeiskiliza album yote ya Harmonize kusema ukweli kwangu mimi binafsi nyimbo nilizozielewa ni Bedroom (licha ya vionjo vya beat kufanana na Teamo wa Ray), Good, na Mpaka Kesho ila nilichogundua...
9 Reactions
56 Replies
9K Views
Huu wimbo mpya wa Z Anto ambao ni diss kwa stamina ni mkali. Wimbo unaitwa "Mako stamina " Mako kinyume ameigeuza kisanii akimaanisha "koma stamina". Z Anto karudi kwa kiki ya stamina I hope...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Msanii wa bongo movie na mwanadada mrembo amefunguka wakati akifanyiwa interview na gazeti la Mwananchi yeye ndio mtu atakayemtuliza Diamond cos asimilia kubwa ya wanawake hasa Hawa maarufu...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Kumekuwa na mabishano mengi kuhusu uzuri wa hawa watu wawili, mmoja Ni mkenya mwingine ni mmeru wa Tanzania, nani mzuri zaidi.
0 Reactions
114 Replies
20K Views
Shoga kidawa nae siku hizi Naona anarudi kwa kasi ya Corona, mbona anakua mzuri hivi, halafu ana mvuto wa ajabu, yan karudi kwenye level zake zile za miaka ya 2006/17. Sijui shoga angu kapata...
3 Reactions
51 Replies
12K Views
Naongelea hasa zile basics za corona ikiwemo matumizi ya vifaa kinga kama mask, gloves na sanitizer. Wakati mashirika makubwa ya Afya duniani na vyombo vingine vya habari wakihamasisha hatua...
3 Reactions
102 Replies
13K Views
Jana nimemsikia presenta mmoja wa radio maarufu akidai kwamba "wasanii wa Nigeria wanaendelea sababu wana UMOJA, hawana ma-bifu". Hata wasanii wanaoheshimika bongo wamekua wakitoa hii hoja. Je...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
Pamoja na ugeni wa Corona nchini Tanzania, lakini hatutaweza kuacha kuwakumbuka na kuwatakia heri ya maisha yao Mashujaa wachache wa Taifa hili, Akiwemo Mh Halima Mdee, ambaye uwepo wake nchini...
18 Reactions
44 Replies
6K Views
By Sangu Joseph WAGENI MASHUGHURI Moja ya vitu vingine ambavyo niliviinjoy sana ni pale kuona viongozi wa kisiasa, wakijumuika na wasanii, wafanyabiashara kuhakikisha Albamu ya #AfroEast ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna msemo unasemaga “mafanikio mengine katika maisha huwezi kuyafikia mpaka ujihusishe na nguvu za giza.” Kwa mafanikio na mvuto aliokua nao Diamond Platnums, bila shaka kuna uwepo wa nguvu...
4 Reactions
67 Replies
16K Views
HARMONIZE NA JIDE, BALAA NA NUSU Nilisikiliza kwa mara ya kwanza, nikasikiliza tena halafu nikasikiliza tena na bado naendelea kusikiliza. Napata burudani kusikiliza mashairi bora kabisa kutoka...
17 Reactions
38 Replies
7K Views
Eric Shigongo, mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa kampuni ya Global Publishers amelalamika kitendo cha Diamond kuwatoza mapromota wa nyumbani kiwango kile kile anachowatandika wale wa nje...
11 Reactions
134 Replies
18K Views
Wakuu nawasalimia, Ni ukweli usiopingika kwamba familia ya mwanamziki mahiri Ally Zoro ikiwa ni baba na watoto ilijizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi. Hata hivyo,familia hiyo ikiongozwa...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Back
Top Bottom