Ali Kiba kataja sababu za kwanini hamfollow mtu Instagram

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,761
Ali Kiba ni staa kwenye muziki wa Bongo Fleva.. kama wewe ni mtumiaji wa Instagram utakuwa umeona kwamba Ali Kiba haja-follow mtu yoyote ukitembelea mitandao ya kijamii ya Ali Kiba utaona ya kuwa ana mashabiki wengi wanaomfuatilia kupitia mitandao hiyo.

Katika post ya Instagram kwenye page ya Mseto East Africa ambao walikaa na kuongea na Ali Kiba na kumuuliza swali hilo, majibu yake ni haya hapa


"
Yea si follow mtu kwasababu, kwanza kabisa nafanya kazi na watu wengi kuna akina TUVA kuna watu kibao lakini watu wa Media ndio tuko nao karibu,sasa wengine walikua waki complain nikawa naogopa zile lawama nilichoshauriwa na hao wenyewe kwamba ni heri ni si follow mtu na vile vile nilipenda ivyo kutokana na promotion ya ujio wangu ambao ulikuwa unakuja ili niweze ku concetrate na account yangu nijue mafans wangu wanataka kitu gani wanani advice kitu gani na pia imesaidia naona jinsi gani wako serious namimi kwasababu naongea nao,kuna wengine wananipa challenge kuna matusi uhmm ni vitu vya kawaida na vile vile wanapokuwa wananisema wananijenga wananitengeneza kiasi fulani,wananibadilisha ni wapi nimekosea naweza kubadilisha"


11352037_1601034610154610_724953867_n.jpg


Je Ushawai Kujiuliza Hivi Mbona Msanii wa Bongo Flava ALIKIBA ( @officialalikiba ) Ha Follow Mtu Yeyote Kwenye Mtandao Wa Instagram?? >>>>>>> Hivi Majuzi Tulikutana na Mwimbaji huyo wa MWANA na Tukamuuliza hivi Mbona ha follow mtu kwenye mtandao wa Insta, na Hii ndio ilikuwa jibu lake " Yea si follow mtu kwasababu, kwanza kabisa nafanya kazi na watu wengi kuna akina TUVA kuna watu kibao lakini watu wa Media ndio tuko nao karibu,sasa wengine walikua waki complain nikawa naogopa zile lawama nilichoshauriwa na hao wenyewe kwamba ni heri ni si follow mtu na vile vile nilipenda ivyo kutokana na promotion ya ujio wangu ambao ulikuwa unakuja ili niweze ku concetrate na account yangu nijue mafans wangu wanataka kitu gani wanani advice kitu gani na pia imesaidia naona jinsi gani wako serious namimi kwasababu naongea nao,kuna wengine wananipa challenge kuna matusi uhmm ni vitu vya kawaida na vile vile wanapokuwa wananisema wananijenga wananitengeneza kiasi fulani,wananibadilisha ni wapi nimekosea naweza kubadilisha" Alisema ALIKIBA ambaye hivi majuzi ameachia Video ya Wimbo Wake 'Chekecha'. Interview nzima unaweza kuisikiliza ndani ya #MamboMseto ya Radio Citizen.

By
@sameerbry1



Kutoka kwenye michango ya wadau wanaojua umuhimu wa network katika biashara
Huyu dogo mi nimeshaishiwa la kumshauri. Nimesema yoteee.

Ni wa kuacha tu, maana HAMNA NAMNA. Tumechoka.

Utter nonsense ,ningekuwa nimemfollow kiba mara moja ningemu_unfollow,in a maana wanaom follow ni wapumbavu?

Hyo ni mistake ambayo kiba kafanya na awezi ikubali ni kuto Kufollow hata msanii mwenzake ths Y hawampi promo kiviile. Et ili a concentrate kwa fans wake did tht make sense? How? anareply comments za fans au ni kuwa karibu kivipi. M naona ni Pumba tu

Hopeless...
Chris Brown mwenyew anawa'follow watu ina maan han akil au sio maarufu zaid ya huyu!!!

Diamond kafollow wasanii wengi sana wa Tanzania management yke yote kafollow, wasanii wa East Africa na africa kiujumla Ma Presenter . Anapata updates za nini kinaendelea wenzake wanafanya nn hiyo ndio akili kubwa.

tatizo bichwa ana principle za kizamani sana na kibaya fans wake nao viazii tu wanashindwa kumshauri anapoenda wrong ndio màana shows hakuna akipata koridoni au fiesta shows za laki nane wanaishia kusema chibu mashauzi / mchawi hahahahahahahaha

kuna asiyejuwa umuhimu wa kujichanganya na wenzake hasa friends of benefit??? Anaishia kuponda kwenye media kwanini watu hawampost 4real men shiiiiiiiiiiiiit

Ajasoma entrepreneurship huyu mziki ni biashara na biashara lazima ujenge Network/Connection na wenzako" kuto kufollow mtu is just like mtu amekupa hi then ukakausha. Act lke u dnt c. Nadhani aliingia iG kipindi kile anafuta vumbi kiti chake na Mwana iko hot bichwa likavimba aka unfollow watu wote

Majibu ya ajabu na yasiyokuwa na maana. Anajisikia na kunata sana huyu jamaa. Ndo maana anaishia kuwa levels za barnaba.
Na hao fans wake wajinga sana.

Unapo jiona bora kuliko mwenzako ndipo mwanzo wa kuwa na kiburi,dharau na jeuri na hicho ndio anacho kifanya huyu alikiba asipo badilika atakuwa msanii wa ndondo miaka yote
 
Utter nonsense ,ningekuwa nimemfollow kiba mara moja ningemu_unfollow,in a maana wanaom follow ni wapumbavu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom