Wema vs Lulu

Nani ni mcharuko kati ya lulu na wema?

All are prostitutes, dramatizing their lives, nothing they have only ujinga tu, kwani kuwa msanii ndio kuwa na sifa mbaya kila kukicha? Na hasa sifa mbaya zenyewe ni NGONOOOOO kila siku, so wote malaya, mcharuko, wauzaji sana, wanawaaibisha other wasanii Tz, hovyo, call them anything worst to them, hivi wema kweli ujue ni hovyo unawezaje kumtenganisha mwanaume mwenye akili na mama mzazi, how, badala yy wema ndie angekuwa close to Diamond's mum, big up Diamond, maamuzi ya kiume hayoo
 
Heshima kwako President,

Waefeso 5: 31 - 33 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.

All are prostitutes, dramatizing their lives, nothing they have only ujinga tu, kwani kuwa msanii ndio kuwa na sifa mbaya kila kukicha? Na hasa sifa mbaya zenyewe ni NGONOOOOO kila siku, so wote malaya, mcharuko, wauzaji sana, wanawaaibisha other wasanii Tz, hovyo, call them anything worst to them, hivi wema kweli ujue ni hovyo unawezaje kumtenganisha mwanaume mwenye akili na mama mzazi, how, badala yy wema ndie angekuwa close to Diamond's mum, big up Diamond, maamuzi ya kiume hayoo
 
Wote ni malaya. Hatuna haja ya kulinganisha watu wanaoshindana kwa ujinga.
 
huwezi kumuita wema mcharuko hata siku moja...ila anapenda pasipo

shostito nakubaliana na wewe she is the best girl i know but anapenda anapoliwa.
Pia kuna generational curse yani laana huyu binti anatakiwa aende kwa tb joshua akafunguliwe atakuwa mzuri tu pia lulu ana pepo mahaba akafunguliwe
 
kwa nn aende kwa TB JOshua tu au ndio unampigia debe as if hakuna wachungaji wengine wanaombea kwa damu ya Yesu.
tusiwahukumu sana hawa mabinti yawezekana sisi ni wadhambi kuliko wao.Anaejifahamu hana dhambi na awe wa kwanza kuwarushia mawe.
tuwaache na maisha yao.
shostito nakubaliana na wewe she is the best girl i know but anapenda anapoliwa.
Pia kuna generational curse yani laana huyu binti anatakiwa aende kwa tb joshua akafunguliwe atakuwa mzuri tu pia lulu ana pepo mahaba akafunguliwe
 
shostito nakubaliana na wewe she is the best girl i know but anapenda anapoliwa.
Pia kuna generational curse yani laana huyu binti anatakiwa aende kwa tb joshua akafunguliwe atakuwa mzuri tu pia lulu ana pepo mahaba akafunguliwe
binti hana laana wala pepo wa ngono...mnafika mbali sasa walimwengu
 
wote bado watoto hawajajitambua bado na kujua value yao,wenzao kina sinta,irene uwoyo,aunt ezekiel washaacha upuuzi baada ya kujitambua,wa focus kwenye ku make money tu,hao bado ni watoto tu dunia itawafundisha siku,bad thng hawajui ni lini,ni kuwaombea tu waache upuuzi wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom