Sijaona sababu ya Diva kusema yote haya, awali nilijua ana busara lakini hapa ni utoto na immaturity

Google Diggers

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
940
1,123


Music industry ina vituko vingi. Kiba anajiheshimu, Konde Boy anatafuta maisha Mondi naye kadhalika, sijui hizi conflict za sisi wasikilizaji zinatoka wapi.

Moja, Pili, msikiti kwa wale wenzangu na mimi, ile pesa ya kujengea msikiti inatokana na mziki, sina hakika kama sio haramu na kwamba wanadamu wanafanya vitu ambavyo ama wanajua si halali au ndio kujitia ukichaa.

Bifu la huyu mdada, naona kama la kimahaba zaidi. Yaani ugomvi umekaa kama vile angetamani kuwa na mmoja wa hawa wajamaa.

Diva anajisikia sana. Sijui kama ana closeness yoyote na mtu yoyote hapo amejipachika tu.

Huyu alikuwa anakula na crazy GK na sasa anapombeza mtu kuwa ananuka, mbona Crazy ni hardcore tu, ana tofauti gani na Kiba, Mondi au Konde?

Sijaona sababu ya kama ni kweli hiyo akaunti ni yake kuyasema yote hayo.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Hao waswahili wapemba mzee wanajuana kwa viremba, hivi ingelikuwa ni bifu halisi kati ya Simba na GK nani wa hovyo kuanzia kimuonekano hadi pesa?😝😝
.
Wanajuana hao wasikupe shida.
 
zanzibariani,
Unajua kuna mambo mengine yanachekesha sana,mtu unahangaika na maisha ya Mond wakati baba ake kashindwa kulipa dhamana anaoza tu jela,kama si ufala huo ni nini?
 
Wewe.ndio una matatizo

Hao wwnajuana na kosa la Mond ni kumtaja jina

CEO mzima, hakuwa na sababu za kumtaja Diva...akamtaja,
Pia hata Kama ni kweli Diva aliomba kazi wasafi..sio logical kusema vile,Diva Ana kazi sehemu nyingine kwa hiyo kamuharibia pia

Pili Mind Hana akili hizo unazotaka awe nazo, hao wamekua na wanajua vizuri Sana

Mtoto wa like hadhalilishwi hadharani

Kama ulijua Mond Ana akili, na wewe una tatizo la msingi
 
Diva is not a person’s name is a tittle Sasa kama ungetusaidia jina lake labda tungeelewa zaidi’
 
Diamond ndo aliyataka yote haya Jamaa yenu uwa hapitwi na kaneno, Bifu ya Diva na Diamond ilikua Imeshakufa.

Bifu Iliibuka Upya Baada ya Diva Kuanza Kumsifia Konde Boy, Jamaa yenu Akavimba kama kifutu akaanza kujibishana nae, Bifu ilikua ya Kwenye mitandao ya Kijamii juzi Diamond kaenda kumuongelea Wasafi Tv
 
Hao wapuuzi wawili wote wanajuana sasa Wewe endelea kuumiza akili yako buree
 
Back
Top Bottom