Picha: After 9 years of marriage Jay Z and Beyonce are still crazy in love

Mwelewa

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
2,343
3,284
Hongera sana mtu mzima Jay. Kudumu kwenye relationship kwa kipindi chote hicho sio mchezo ukizingatia maneno ya watu kujaribu kuwashusha na kuwaongelea sivyo.

Nimependa Jay na Bey wamefanya uhusiano wao private hawaweki kila kitu nje.

Much love big bro Jay

cfe39fe0ad0397a11c9b7e308441072c.jpg

fc53aaa93e740d034fa8abee21294348.jpg

caca3f72e2abd1d32b505e43f6bd5485.jpg

7bb2478b637b480ab65e9e64a9d9aec3.jpg

54bf0606e43e1ee6559c734b0f84df6b.jpg

f9baca934dcee00222ee52221d4428c7.jpg
 
Hizo ni picha tu Unajua yaliyomo ndan
Boy mzuri wewe bado toto siyo? Kila uhusiano unapitia challenges lakini kukabili hizo challenges ndiyo ukomavu huo.

Jay na Beyonce wamekuwa on the sportlight kwa muda mrefu. Wamefanikiwa kuvuka changamoto nyingi pamoja. Unajua kabla ya marriage walikuwa pamoja for almost 11 years?
 
Aisee kumbe bado kuna watu wanadanganywa na picha. Showoff
Kudanganywa nini? Mtu mzima Jay amefanikiwa kutunza uhusiano wake. They been together for eleven years before marriage and now nine years in marriage. Bad mind dont like see dem couple rocking together
 
11 kitu gan watu wanaishi miaka 20 na divorce juu after long pretending to be in deep love.
Kudanganywa nini? Mtu mzima Jay amefanikiwa kutunza uhusiano wake. They been together for eleven years before marriage and now nine years in marriage. Bad mind dont like see dem couple rocking together
 
Boy mzuri wewe bado toto siyo? Kila uhusiano unapitia challenges lakini kukabili hizo challenges ndiyo ukomavu huo.

Jay na Beyonce wamekuwa on the sportlight kwa muda mrefu. Wamefanikiwa kuvuka changamoto nyingi pamoja. Unajua kabla ya marriage walikuwa pamoja for almost 11 years?
hatari sana
 
Kua mwelewa kama jina lako
Pia watu wanaishi miaka 56 wakiwa pamoja bila kuachana. Mkuu mbona unaleta hoja ya kitoto.

Hapa tunaangalia present time. Na hiyo ndiyo muhimu zaidi.

Wewe umejuaje wataachana? Au unapiga ramli?
 
Kua mwelewa kama jina lako
Uliposema watu wanaweza kukaa kwenye relation for 20 years wakaachana inaweza ikawa kweli lakini hiyo ni fallacy statement. Ndiyo maana nikakujibu inawezekana pia watu wakaa kwenye relation for 56 years wasiachane. Unaekewa lakini nachozungumza?

Ukibisha haya endelea kupiga ramli mkuu
 
Its just a fact,i do love them.

Bless you. Keep on loving them. And if have spare time say prayers for their love to last longer. Now, can you tell what made you write all that bullshit you wrote before? Im guessing now you are in your right mind buddy
 
Everything needs a strong criticism to be strong,no bla bla kila saa. Hujui yanayoendelea ndan mpaka uwepo humo so nilichokiandika saiv na saa ile vyote vina maana. SHOWOFF bora kimkardashian na kanye wapo real kiaina.(nimeharibu tena uwiii usinichambe)

Back
Top Bottom