Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Soudy brown Hanaga mambo ya Kiki Huyu Yuko naumbewa wake Sam-Misago Mwansishi wa habar popular Mzeemkavu Mzee wa shilawadu mnyaki hanaga Kiki za kijinga Dullavan Mchekeshaji....Hana...
2 Reactions
60 Replies
6K Views
Bila kutaja sababu, kupitia ukurasa wake wa instagram diva the bawse ametangaza rasmi kuacha kazi. Ameandika hivi:
3 Reactions
91 Replies
15K Views
Hiv karibuni wasafi FM ilifungiwa kutokana na kosa la Baba levo kuongea lugha fulani ambayo sio nzuri kwenye kipindi. Baada ya media kufungiwa boss wao Diamond Platnumz ndo kwanza akawapeleka...
42 Reactions
91 Replies
13K Views
Mtangazaji gani wa TV anaye kuvutia hapa tz kwa ujumla mimi huyu hapa
1 Reactions
214 Replies
54K Views
Nakumbuka kwenye moja ya tukio niliona ukimuenzi Marehemu Dr Remmy. Hiyo ni sawa kabisa ila pia kwa upande mwingine kuna Marehemu Halila Tongolanga ambaye umerudia moja ya wimbo wake maarufu wa...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Huyu Mwana mama anaitwa Juhayna Zaghalulu Ajmy ni Mke wa Joseph Kusaga Josepg Kusaga - Clouds Media Juhayna Zaghalulu - Wasafi
7 Reactions
77 Replies
19K Views
Kiukweli katika wanawake ambao Mavoko anawapenda sana basi Gigy Money anaongoza. Lakini kwa mujibu wa Gigy Money anadai aliachana na Mavoko kwa sababu Mavoko anakibamia halafu ni goi goi...
1 Reactions
65 Replies
13K Views
Narudia wanawake wote duniani ni Freemason walio ktk madaraja au vyeo mbalimbali ila wanaume ni wachache na ndio hao wenye vyeo na umaarufu Mwanamuziki Diamond mwanzo hakuwa Freemason ila...
6 Reactions
67 Replies
18K Views
Siku za hivi karibuni mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya ccm Mh Magufuli amewatunukia nishani mpya ya Kofia baadhi ya wasanii kama ishara ya kuthamini mchango wao kwenye jukwaa la kampeni...
10 Reactions
47 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020. Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye...
4 Reactions
70 Replies
13K Views
Kenedy Perfect Tumalize ubishi hapa. Who is the best presenter. Povu ruksa...ukila ban kalale.
1 Reactions
42 Replies
14K Views
Kuna uzi wa kupotosha umefunguliwa ukilenga kupotosha watu dhidi ya wimbo wa msanii Diamond uliotolewa hivi karibuni na naona unazidi kupata umaarufu mkubwa hapa jukwaani. Na wachangiaji wake...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari nzuri, Msanii wetu wa Tanzania Diamond Platnumz atakuwepo kwenye moja ya collabo ilipo kwenye album mpya ya Alicia Keys. Alicia Keys amethibitisha hivyo kwa kuonesha list ya nyimbo...
10 Reactions
98 Replies
15K Views
Watu wengi sina hakika kama wanaliona hili ila Muziki wa Bongo fleva kwa kifupi umeingiliwa, umechakachuliwa na too bad ni kama unakufa. Nadhani wanaopenda muziki kama mimi wanapata tabu tu na...
16 Reactions
102 Replies
10K Views
Toka Clouds Tv wamerudi toka kifungo cha wiki moja simuoni Baby Kabae na Sam Sasali katika kipindi chao cha asubuhi -- Clouds 360. Je, wameondoshwa kwa maslahi ya umma?
1 Reactions
29 Replies
12K Views
Naona nyota ya huyu binti Ni Kali si mchezo tangu atambulishwe kwenye game haizidi hata miezi 6 ngoma zake alizoachia zimempa nominees kwenye tuzo za Afrimma kuania kwenye vipengele viwili Cha...
6 Reactions
92 Replies
10K Views
Pongezi kwa kusimamia weledi wa fani yenu. Nakumbuka tangu Uchaguzi Mkuu wa 2010, 2015 na wa mwaka huu mmeendelea na msimamo wenu wa kutotumika kupiga kampeni kwenye upande wowote wa siasa. Hii...
21 Reactions
33 Replies
5K Views
Wasanii wawili waliokimbia label ya king's music ya Alikiba, Cheed na Killy hatimaye wametambulishwa rasmi katika label ya Kondegang ya Harmonize. Kwa sasa label hiyo ina jumla ya wasanii 5 tangu...
8 Reactions
164 Replies
18K Views
Wasalaam wadau natumai mko salama kabisa..Direct to the point. Dj wa Clouds Media Group(CMG) Bwana Omary Said aka Dj D-Ommy,The International DJ,Mr.Washawasha,Jitu nene.Chalii mwenye mikono yenye...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Hatimaye mchezaji wa mpira wa migiuu wa timu ya Juventus ya Italia hatimaye amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Georgina. Pete hio ya almasi ina thamani ya pesa za kitanzania Bilioni 1.8. If...
6 Reactions
42 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…