Vote For DJ D-Ommy as Best Dj in Africa

princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,197
2,051
Wasalaam wadau natumai mko salama kabisa..Direct to the point.
Dj wa Clouds Media Group(CMG) Bwana Omary Said aka Dj D-Ommy,The International DJ,Mr.Washawasha,Jitu nene.Chalii mwenye mikono yenye kasi na nguvu.
Amewekwa kwa mala nyingine tena na@afrimma kuwania kipengele cha Dj bora wa Afrika.
Kipengele hiki ni kigumu sana maana kina ma'Djs wakubwa mno barani Afrika kama kina DJ Black Coffee,Dj Tira,Dj Euphonik wa South Africa,Pamoja na Dj Spinall,Dj Neptune,Dj Ecool wa Nigeria,Dj Slim wa Ghana.
Turudisheni mzigo nyumbani kwa mala nyingine tena,To vote link kwenye Bio yake ya@djdommy...Pia jinsi ya kumpigia kura chalii tembelea tovuti ya afrimma http://afrimma.com/nominees-for-2019/
@ChaliiYaKijengeJuu.
 
Attachments

  • Ah.jpg
    Ah.jpg
    24.4 KB · Views: 19
  • Aah.jpg
    Aah.jpg
    16.4 KB · Views: 17
Hivi ni kwamba huyu jamaa ni dj bora kuliko wote hapa tz ama ndo ile kitu inaitwa 'kujibrand'?, Binafsi haniimpress kivile kama kina Mafuvu
 
Hivi ni kwamba huyu jamaa ni dj bora kuliko wote hapa tz ama ndo ile kitu inaitwa 'kujibrand'?, Binafsi haniimpress kivile kama kina Mafuvu
Branding mkuu, D Ommy ni mzuri sana ila hasogei kwa Dj Zero wala Dj PQ ila ndio hivyo kila mtu na riziki yake. Tumpe kura ashinde ili Tanzania ishinde.
 
Branding mkuu, D Ommy ni mzuri sana ila hasogei kwa Dj Zero wala Dj PQ ila ndio hivyo kila mtu na riziki yake. Tumpe kura ashinde ili Tanzania ishinde.
Huyo Zero mwenyewe hamfikii Scratch designer jamaa mbovu sana Kwenye Beatmatch ila kwenye upangiliaji wa playlist yupo njema.

D ommy na Scratch kwangu ndio The best pale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom